Man fila ndu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 903
- 732
Ooooh
Polepole alikuwa sahihi, huyu mla ndezi anadanganya tu.....na kwanini anaruhusiwa kuongea hadharani kiongozi huyu aliyeshindwa kuiongoza nchi? Polisi, tafadhali mkamateni huyu mtu.Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Hivi JK bado ni Rais au mhuni mimi ndiyo sielewi?Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Ishu ya kubomoka majengo ni swala la wasimamizi wa ngazi za chini na mafundi, au ishu ya kutafuta mafundi wa kujenga hayo majengo haihusiani na nafasi ya Rais, yeye kazi yake kuridhia pesa zielekezwe wapi na kiasi gani, au ulitaka azunguke kupita kukagua darasa au jengo mojamoja?Sawa shule zilijengwa lakini majengo ni substandard yameanza kubomoka baada ya muda mfupi na gharama ya ujenzi huo haulingani na majengo yenyewe!!
Wewe utakuwa mnufaika wa ile miradi kwani contractors walilipwa fedha nyingi sana!
Nyie wahuni lazima mumtetee Samia kwani kuendelea kwake ndio mnashiba.
Huwa najiuliza hivi kwanini mpaka leo hatuna shule mpya za sekondari zenye majengo ya hadhi kama ya mkwawa sec, sengerema sec, ilboru sec, mzumbe, minaki, pugu, tosamaganga nkSawa shule zilijengwa lakini majengo ni substandard yameanza kubomoka baada ya muda mfupi na gharama ya ujenzi huo haulingani na majengo yenyewe!!
Wewe utakuwa mnufaika wa ile miradi kwani contractors walilipwa fedha nyingi sana!
Nyie wahuni lazima mumtetee Samia kwani kuendelea kwake ndio mnashiba.
Hao wote uliowaraja Yaani Dc, Ded na, Das wote ni wateule wa Samia. Ni kazi yake kuhakiki kuwa fedha zilizotengwa zinatumika vizuri; Mbona Magufuli alikuwa anakagua miradi physically mikoani? Samia anabweteka kazi kusikiliza mipasho ya taarab na kungojea kupokea fedha za hongo toka kwa mkwewe Mchengerwa na mwanae Abdul!!Ishu ya kubomoka majengo ni swala la wasimamizi wa ngazi za chini na mafundi, au ishu ya kutafuta mafundi wa kujenga hayo majengo haihusiani na nafasi ya Rais, yeye kazi yake kuridhia pesa zielekezwe wapi na kiasi gani, au ulitaka azunguke kupita kukagua darasa au jengo mojamoja?
Bajeti ya ujenzi darasa Moja ilikuwa ni 20mil kama sikosei, na maeneo mengi ujenzi ulimalizika na majengo yapo na yanatumika mpaka hii Leo na Bado yapo katika ubora tu, kama huko kwenu yamebomoka, uliza uongozi wa hapo, DED, DC,DAS, Wahandisi n.k, na sio kila jambo kumlaumu Rais tu