GE2025 Kijembe cha Kikwete kwa Polepole kuhusu fedha za Uviko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole alikuwa sahihi, huyu mla ndezi anadanganya tu.....na kwanini anaruhusiwa kuongea hadharani kiongozi huyu aliyeshindwa kuiongoza nchi? Polisi, tafadhali mkamateni huyu mtu.
 
Hivi JK bado ni Rais au mhuni mimi ndiyo sielewi?
 

MAFISADI MNA DAMU ZA WATU WANGAPI MIKONONI MWENU ?

NYIE HATA MKIPATA HOMA MNAPANDA NDEGE KWENDA KUTIBIWA NJE YA NCHI WAKATI WATANZANIA WANAKUFA HAPA HAPA.

THESE ARE THE DIRECT EFFECTS OF LIVING IN A KLEPTOCRATIC STATE.

THE MONEY THAT IS STOLEN IS WHAT COULD HAVE GONE INTO BETTER TRAINING FOR MEDICAL PROFESSIONALS, BETTER HOSPITAL INFRASTRUCTURE, BETTER MEDICAL INSURANCE.
 
Mbona watu mna chuki sana na JK? Muacheni mzee apumzike.
 
Ishu ya kubomoka majengo ni swala la wasimamizi wa ngazi za chini na mafundi, au ishu ya kutafuta mafundi wa kujenga hayo majengo haihusiani na nafasi ya Rais, yeye kazi yake kuridhia pesa zielekezwe wapi na kiasi gani, au ulitaka azunguke kupita kukagua darasa au jengo mojamoja?
Bajeti ya ujenzi darasa Moja ilikuwa ni 20mil kama sikosei, na maeneo mengi ujenzi ulimalizika na majengo yapo na yanatumika mpaka hii Leo na Bado yapo katika ubora tu, kama huko kwenu yamebomoka, uliza uongozi wa hapo, DED, DC,DAS, Wahandisi n.k, na sio kila jambo kumlaumu Rais tu
 
Huwa najiuliza hivi kwanini mpaka leo hatuna shule mpya za sekondari zenye majengo ya hadhi kama ya mkwawa sec, sengerema sec, ilboru sec, mzumbe, minaki, pugu, tosamaganga nk

Yaani vishule siku hizi ni aibu havimpi hata mtoto mshawasha kuwa sasa yupo kwenye taasisi ya elimu mazingira maalumu flani hivi
 
Hao wote uliowaraja Yaani Dc, Ded na, Das wote ni wateule wa Samia. Ni kazi yake kuhakiki kuwa fedha zilizotengwa zinatumika vizuri; Mbona Magufuli alikuwa anakagua miradi physically mikoani? Samia anabweteka kazi kusikiliza mipasho ya taarab na kungojea kupokea fedha za hongo toka kwa mkwewe Mchengerwa na mwanae Abdul!!
Amemuachia utawala wa nchi fisadi Kikwete na kundi lake la mtandaoni.
Lawsma zote zinakuja kwake kwasababu yeye ndio yuko madarakani hivi sasa ingawa Kikwete ndio effective ruler behind the scenes!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…