Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
😃😆😆😅Zitto Kabwe ameshafelishwa na baba Levo 🐼
NO REFORMS NO ELECTION!
Mbona yule jamaa ana sura nzuri lakini roho sio nzuri?Roho ya mtu inaendana sana na Sura yake hiyo ni code nawapa.
Kuna upande ana unafuu, huyu ukimpa nafas ya yule jamaa hakuna rangi tutaacha ona.Mbona yule jamaa ana sura nzuri lakini roho sio nzuri?
Ongea ila usiogope kukosolewa!!But,wapenzi na washabiki wa chama kile huwa wanamsema na kumkashifu sana. Je, yeye hana haki ya kuongea!!
Mbona hakuna mahali katika uzi huu Zitto alipozuiwa kuongea.But,wapenzi na washabiki wa chama kile huwa wanamsema na kumkashifu sana. Je, yeye hana haki ya kuongea!!
Chawa Promax!!Huyu ni chawa
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania
Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora uliopiganiwa leo Kwa wao kugomea uchaguzi Zitto anaona maslahi yake hayatakidhiwa.
NO REFORMS NO ELECTION!
Puppet sio?Yule jamaa ni kibaraka
Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora uliopiganiwa leo Kwa wao kugomea uchaguzi Zitto anaona maslahi yake hayatakidhiwa.Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania
Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora uliopiganiwa leo Kwa wao kugomea uchaguzi Zitto anaona maslahi yake hayatakidhiwa.
NO REFORMS NO ELECTION!