Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Umechelewa sana. Alianza kula dili kipindi cha Jk mpaka sasa. Alitofautiana na mwendazake kwa sababu alikabia juu.Zitto ni ntu ya dili ndiyo nimekuja kumjua sasa
Umechelewa sana. Alianza kula dili kipindi cha Jk mpaka sasa. Alitofautiana na mwendazake kwa sababu alikabia juu.Zitto ni ntu ya dili ndiyo nimekuja kumjua sasa
Alisema mwaka huu atagombea Urais lakini ghafla kabadili mawazo!!Zitto tangu atimuliwe Chadema hata umaarufu wake umeshuka na ndoto zake za urais zikayeyuka.
Agombee kwa chama gani! Yeye mwenyewe anajua chama cha kukichallenge ccm ni Chadema tu.Alisema mwaka huu atagombea Urais lakini ghafla kabadili mawazo!!
...hajui alikotoka na anakoelekea😂Unajua unaweza ukasoma ukamaliza vidato vyote na degree zote lkn bado kichwani ukabaki kuwa zwazwa, huyu ni zwazwa lilijikatia tamaa ya maisha, hajui alikotoka na anakoelekea
Kwa hali ilivyo Zitto anategemea kupata viti wapi nje ya Pemba?Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania
Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora uliopiganiwa leo Kwa wao kugomea uchaguzi Zitto anaona maslahi yake hayatakidhiwa.
NO REFORMS NO ELECTION!