Kijembe cha Zitto kwa CHADEMA inaonesha hajui nini anapigania!

Unajua unaweza ukasoma ukamaliza vidato vyote na degree zote lkn bado kichwani ukabaki kuwa zwazwa, huyu ni zwazwa lilijikatia tamaa ya maisha, hajui alikotoka na anakoelekea
 
Unajua unaweza ukasoma ukamaliza vidato vyote na degree zote lkn bado kichwani ukabaki kuwa zwazwa, huyu ni zwazwa lilijikatia tamaa ya maisha, hajui alikotoka na anakoelekea
...hajui alikotoka na anakoelekeašŸ˜‚
 
Kwa hali ilivyo Zitto anategemea kupata viti wapi nje ya Pemba?
 
bado munaendelea kuteseka na Zitto, Vijana wa Chadema bana
 
Zitto alikua ana ndoto ya kua Rais na akasema atagombea Urais ghafla karudi kwenye Ubunge zitto anakua kwa kurudi nyuma kisiasa kwa Sasa yuko Jimboni kwake Mpinzani wake ni baba Levo unaweza kuona hata mpinzani wake kwa sasa na baba Levo anaweza kushinda zitto yuko mwisho kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…