Mjerumani Chotara
Senior Member
- Jan 29, 2014
- 153
- 34
Hii lugha nimeisoma miezi 3 tanzania na miezi 6 Ujeruman na ndio lugha ninayoitumia chuo, maana wajeruman wanasoma masomo yote kwa lugha yao ndio maana ilinilazimu kujifunza..
Ila nawapa moyo kwa wanaotaka kusoma vyuo vya Ujeruman wajifunze lugha hii vyuo ni vingi sana na vinatoa elimu nzuri sana..
Kama nimekusoma hiyo hapo juu ndo tafsiri ya lugha ulozungumza mwanzo. Kama ndio Vielen danke! Mein Onkel or Tante.