Mjerumani Chotara
Senior Member
- Jan 29, 2014
- 153
- 34
Hii lugha nimeisoma miezi 3 tanzania na miezi 6 Ujeruman na ndio lugha ninayoitumia chuo, maana wajeruman wanasoma masomo yote kwa lugha yao ndio maana ilinilazimu kujifunza..
Ila nawapa moyo kwa wanaotaka kusoma vyuo vya Ujeruman wajifunze lugha hii vyuo ni vingi sana na vinatoa elimu nzuri sana..
Hii lugha inatisha. Huwa napata feeling kama vile navamiwa na SKINHEAD..... Heil Mtemi?!?!?!
Mmh hii lugha ukiongea utadhani una hasira au mnagombana,kumbe ndio unabembeleza ,gunta gunt nyingi loo lugha nyingine bana,mimi napenda wakiongea Wataliano kama wanateleza vile
yebhe,mulìho? magambo ki? ni bhiti,leka tulome ne kibantu nyangoyu!
Mughonile malafyale!
Um diese sprache zu lernen, man braucht ein leistung, und was soll ich bei euch sagen, bin ich in Deutschland fur large zeit und ich spreche sehr gern Deutch. Ich lade euch auch zummen um supper zu lernen,
Aber eine gut schule ist Goithe institut