KERO Kijiji cha Luganga, Viboko na Tembo wanaingia mashambani na kuharibu mazao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Screenshot 2024-08-21 121435.png
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima.

Wakulima wamesema kuwa wametoa taarifa sehemu husika lakini hawajafanikiwa kupata msaada wa kuwadhibiti, hivyo wanyama hao kufanya maeneo hayo ya mazao kama sehemu ya malisho.

Soma Pia: Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini
 
Ueni kula nyama acheni ujinga!
 
Safi sana
 
Ukiwauwa unapewa kesi ya ujangili na kukutwa na nyara za SERIKALI

All in all,
Kati ya tembo, Boko na binadamu sijui nani kamvamia mwenzake..
 
Back
Top Bottom