Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima.
Wakulima wamesema kuwa wametoa taarifa sehemu husika lakini hawajafanikiwa kupata msaada wa kuwadhibiti, hivyo wanyama hao kufanya maeneo hayo ya mazao kama sehemu ya malisho.