chukua mainjinia wetu wa pale udsm,wape kazi kujenga kijiji uone kama watafikia kiwango hicho. sijui huwa wanasoma nini. hata vijengo wanavyojenga mitaani unaviona kabisa kama vinataka kudondoka. hao walijenga enzi hizo hata cement hakuna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.