SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

Screenshot_20230913-072231_WhatsApp.jpg

 
Tunachokijua
Usiku wa Septemba 9, 2023, tetemeko kuu la ardhi lilitokea nchini Morocco na kuharibu vibaya moja ya maeneo muhimu ya kihistoria katika milima ya Atlas ya Juu, msikiti wa ardhi na mawe uliojengwa na nasaba ya enzi za kati iliyoteka Afrika Kaskazini na Uhispania.

Vyombo vya habari vya Morocco viliripoti kuwa sehemu za Msikiti wa Tinmel zimeporomoka. Picha zinazosambaa mtandaoni zilionyesha kuta zilizoanguka, mnara ulioanguka nusu na marundo makubwa ya uchafu.

screenshot-2023-10-05-161114-png.2772728

Mwanaume akitembea karibu na Msikiti wa Tinmel, ambao uliharibiwa na tetemeko kuu la ardhi, huko Tinmel, Morocco, Septemba 11. REUTERS/Hannah McKay
Kikijibu swali la Reuters kuhusu uharibifu ulioripotiwa kwa Tinmel, chanzo cha Wizara ya Utamaduni ya Morocco kilisema Wizara imeamua kukarabati na kuurejesha msikiti huo na wangetoa bajeti ya kutosha kufanikisha kazi hiyo.

Msikiti wa karne ya 12 ulijengwa ambapo nasaba ya Almohad ilianzisha mji mkuu wake wa kwanza katika bonde la mbali la Atlas kabla ya kwenda kuteka Marrakech, kumtangaza kiongozi wake Khalifa, na kuandamana katika eneo hilo kwa kuchochewa na bidii ya kidini.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kitamaduni UNESCO limesema limesikia "uharibifu muhimu sana kwa Msikiti wa Tinmel", ambalo limeongeza kuwa lilipendekezwa kuorodheshwa kama eneo la Urithi wa Dunia, lakini likaongeza kuwa bado linasubiri kutuma timu kutathmini uharibifu huo.

Hadi Septemba 11, 2023, takriban watu 2,000 wamekufa katika tetemeko hilo la kipimo cha 6.8, ambalo ndilo lililoharibu zaidi eneo hilo tangu mwaka 1900. Lilipiga siku ya Ijumaa usiku, na kuharibu majengo ya jadi katika Atlas Kuu na kuanguka kwa nyumba za matofali na mawe katika vijiji vingi vinavyoonekana.

Tetemeko hilo pia lilisababisha uharibifu katika mji wa zamani wa Marrakech , eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO, ambapo mnara ulipinduka na sehemu za kuta za jiji la kihistoria kuanguka pamoja na baadhi ya nyumba za jadi.

JamiiForums imebaini kuwa Madai ya msikiti kutokuharibiwa na tetemeko hayana ukweli, na hakuna taarifa zinazothibitisha jambo hili.
Aisee waarabu wamepigwa Sana na majanga
Anzia uturuki vifo 50000+( elf 50)
Libia vifo (10000+) elf kumi
Moroko 4000+
Aisee majanga ya asili noma
 
Malizia kwa kuuliza ili wakaswali wakina nani?
Msikitini uwa wanaswali waislamu binadamu na majini (demons)

Koran 72:1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa na zaidi ya 10000 hawajulikani walipo,wengine wamesukumizwa baharini huko

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli[emoji56]
Mkuu kibinadamu na kama una akili timamu sidhani kama ni busara kusema hiyo kauli yako kama huna la kuongea sio vibaya kukaa kimya pia
 
yesu ana nguvu gani za kulipiza katundikwa msalaba na kijana moja tena mlemavu wa mguu kamkamata kampigilia msumari akawa anaomba msaada nisaidieni sirudii tena nimekoma halafu huyo ndie alipeze kisasi
Huyo allah mwarabu msenge na mtume wake muddy govi hakutahiriwa alikuwa anapaka wanja na hina.
 
Binadamu wa kwanza tangu nione jua kuona anafurahia vifo kwa binadamu wenzake

Dont tell me huyo mungu wa kweli ni man made
Mungu huyo huyo alileta gharika Duniani enzi za nuhu,na wakishupaza shingo mapigo bado 😁
 
A
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
ngalia mwonekano wa hayo majengo kabla ya tetemeko , je yanafanana na hizo zilizofutika?
 
Ndg watu wamekufa kwa maelfu halafu wewe unaleta stori za jengo. Kwa hiyo unataka kumwaibisha alah kwamba ameacha watu wafe bila kuwatetea na akaona bora alitetee jengo lililojengwa na wanadamu siyo?
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
Kwa hiyo hata nyumba za Maimamu, mashehe etc zimesombwa kwa sababu wenyewe ni wadhambi watupu? Kule Saudi radi ilipiga eneo takatifu, hapo tuhitimishe vipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa munyaazi mungu kazi kweli kweli umesahau na kule Libya inasemekana wakat wa mafuriko ya juzi Kuna msaafu umekutwa haujaloa hata chembe na nyumba ulimokuwemo imeindoka yote na maji.

Takbiiiir!!
 
Back
Top Bottom