SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ooh. Hawa jamaa Ooh... Ni mabingwa na wajuzi wa kutafuta huruma hakuna mfano dunia nzima.
Wanaweza tengeneza tukio na likaimbwa dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…