SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

Screenshot_20230913-072231_WhatsApp.jpg

Tunachokijua
Usiku wa Septemba 9, 2023, tetemeko kuu la ardhi lilitokea nchini Morocco na kuharibu vibaya moja ya maeneo muhimu ya kihistoria katika milima ya Atlas ya Juu, msikiti wa ardhi na mawe uliojengwa na nasaba ya enzi za kati iliyoteka Afrika Kaskazini na Uhispania.

Vyombo vya habari vya Morocco viliripoti kuwa sehemu za Msikiti wa Tinmel zimeporomoka. Picha zinazosambaa mtandaoni zilionyesha kuta zilizoanguka, mnara ulioanguka nusu na marundo makubwa ya uchafu.

screenshot-2023-10-05-161114-png.2772728

Mwanaume akitembea karibu na Msikiti wa Tinmel, ambao uliharibiwa na tetemeko kuu la ardhi, huko Tinmel, Morocco, Septemba 11. REUTERS/Hannah McKay
Kikijibu swali la Reuters kuhusu uharibifu ulioripotiwa kwa Tinmel, chanzo cha Wizara ya Utamaduni ya Morocco kilisema Wizara imeamua kukarabati na kuurejesha msikiti huo na wangetoa bajeti ya kutosha kufanikisha kazi hiyo.

Msikiti wa karne ya 12 ulijengwa ambapo nasaba ya Almohad ilianzisha mji mkuu wake wa kwanza katika bonde la mbali la Atlas kabla ya kwenda kuteka Marrakech, kumtangaza kiongozi wake Khalifa, na kuandamana katika eneo hilo kwa kuchochewa na bidii ya kidini.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kitamaduni UNESCO limesema limesikia "uharibifu muhimu sana kwa Msikiti wa Tinmel", ambalo limeongeza kuwa lilipendekezwa kuorodheshwa kama eneo la Urithi wa Dunia, lakini likaongeza kuwa bado linasubiri kutuma timu kutathmini uharibifu huo.

Hadi Septemba 11, 2023, takriban watu 2,000 wamekufa katika tetemeko hilo la kipimo cha 6.8, ambalo ndilo lililoharibu zaidi eneo hilo tangu mwaka 1900. Lilipiga siku ya Ijumaa usiku, na kuharibu majengo ya jadi katika Atlas Kuu na kuanguka kwa nyumba za matofali na mawe katika vijiji vingi vinavyoonekana.

Tetemeko hilo pia lilisababisha uharibifu katika mji wa zamani wa Marrakech , eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO, ambapo mnara ulipinduka na sehemu za kuta za jiji la kihistoria kuanguka pamoja na baadhi ya nyumba za jadi.

JamiiForums imebaini kuwa Madai ya msikiti kutokuharibiwa na tetemeko hayana ukweli, na hakuna taarifa zinazothibitisha jambo hili.
Allahhumma amina
Bismillah Allahu akbar
La ilaha illa Allah Muhammed asul Allah
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah
Hizo wenzako huko Libya na Morocco walizisoma sana na at the final wakafyekwa.
 
Mtu mpaka kajenga msikiti ina maana ni mwenye uwezo (tajiri wa kijiji). Kwahiyo alijenga msikiti imara kama ilivyo nyumba yake.
 
Mwanao!?.. Mungu Hana mwana,wewe ndiyo unaona ukatili binaadam kufa,yeye haoni hivyo,we ulishawahi ones huruma sisimizi ulioua!?..achilia mbali ng'ombe na samaki unaowala supu!?

Nakuuliza wewe unaweza ua mwanao ilhali unampenda na kuacha kijumba chake?

Kumbe yeye haoni huo ni ukatili then nyie mna more sense than him/her or therm.
 
Simple tu, aliyegenga alikuwa na ufahamu mzuri wa geografia ya eneo na taaluma ya kugenga msingi imara kutokana na aina ya nyumba.

Ningeshaa kama msikiti ungebaki arafu nyumba yake ipotee au nyumba ibaki na msikiti upotee .
 
Umesahau Mungu huyu huyu aliweka mwanae peke msalabani na akafia kwenye huo msalaba ila hawezi kusamehe watu, kifo kwa watu baki sio issue kama aliweza kutesa his first born Yesu sembuse nyie Wamakonde!!!!!

Kumbe. Swali kwako wewe unaweza ua mwanao? If the answer is no, then nyie mna more sense than him/her or them.
 
Kumbe. Swali kwako wewe unaweza ua mwanao? If the answer is no, then nyie mna more sense than him/her or them.
Wewe kwani huamini kwamba Yesu alitolewa sadaka na baba ake Mungu, tena sadaka ya mateso au we sio mkristo?
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
Hapa Kuna porojo za kiimani unataka kuaminisha watu
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
Kwa hiyo unataka kusemaje, hakuna misikiti mingine iliyobomoka huko?
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
Allah amelinda majengo akamuua mjengaji,

Umeridhika?

Miungu mengine ya ajabu kweli,ni kama kike kipindi Cha Tsunami,

Yale mawimbi yaliua mamilioni ya waislamu,ila msikiti mmoja ukabaki intact,

Watu badala ya kusikitika kupoteza maisha ya watu,tena watu walewale walioujenga huo msikiti,wafia dini wakawa wanaona kusalimika majengo ni Bora kuliko maisha ya watu,dah!

Eti msikiti kubaki intact ndo ushaidi kwamba Allah ni the Great!

Kama Mungu ndo yupo hivyo basi umekula hasara!

Unathamini je jengo kuliko maisha ya waliyoyajenga!

Pathetic!
 
Morocco walisema wako Spain acheni shobo wale sio waafrika mambo ya Morocco hatuyataki humu.
 
Haya ni mazingatio kwa WENYE akili tu wengine hakuna.
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
... cha muhimu zaidi ni kipi? Hiyo nyumba ya ibada iliyobaki bila waumini au waumini ambao hawapo tena? Au kwa lugha nyingine ni kipi cha muhimu kwako? Uwepo wanadamu bila nyumba ya ibada au nyumba ya ibada bila binadamu?
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461
Vijiji vya kimaskini na nyumba zao za kimaskini. Ni tajiri tu aliyeweza kujenga nyumba na msikiti imara. Hakuna muujiza hapo
 
Kwahio huo wanaomwamini ni mtu wa visasi na mapigo ya kuua watu ikiwemo watoto na wasio na makosa na wenye makosa ?

Kama usemacho kingekuwa kweli na wewe ndio umeokolewa ungesema nashukuru kwa ulilofanya na kusifia kwa kazi nzuri wakati majirani zako wako wameuliwa ?

Nadhani binadamu ndio wanatumia hii loophole kwa kufanya ukatili wao au kuwaaminisha wengine kwamba sisi ni the Chosen....

Ila ukiangalia kwa macho ya logic ni kwamba umesema ni msikiti ndio umebaki (huenda ulijengwa imara) na nyumba ya mjenzi wa msikini; it makes sense kama alijenga kwa ubora huo msikiti na yeye alijenga kwake vyote vitakuwa bora
 
Nakuuliza wewe unaweza ua mwanao ilhali unampenda na kuacha kijumba chake?

Kumbe yeye haoni huo ni ukatili then nyie mna more sense than him/her or therm.
We jamaa unafikiri Mungu ni mtu siyo!?..na Wala hujui mipango yake na binaadam,elimu Haba udhia!!
 
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force tu, wenye uelewa mambo theology na geography tuambieni.

View attachment 2747461

Yaani unataka kusema msikiti ni WA maana kuliko Watu?

Imani zingine zinachekesha Sana.
Ndio Ile MTU anauawa ATI kisa kachana Quran au Biblia au kaingia na kinyesi Kanisani au msikitini.

Imani sahihi ni Ile inayoupa ubinadamu thamani.
Kusema Mungu auwe Watu alafu aache jengo hiyo ni upuuzi
 
Back
Top Bottom