Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008.
Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee.
Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi nilivyoingia pale Kijijini Pisi ikawa inapita sana home nikaizingua mpaka nikaiambia nataka niende na weww Dar, Pisi ikaniamini ikamkataa mpaka jamaa aliyekuwa anaigharamia. Kuna siku mida ya saa 12 nikaenda nyumbani kwa ile Pisi tena niliingizwa kwenye mtego na jamaa yangubwa karibu. Manyanza unaitwa na Nyanzala yupo kwao na hakuna mtu na Kaka yake kaenda kwenye gulio kijiji cha tatu leo harudi na Mama yake Nyazala alikuwa kaenda makao makuu ya mkoa wa wilaya ya Kijiji chetu. Kufika pale nimenunua betri za kuweka kwenye redio na kaseti zangu za westlife tukawa tunasikiliza huku tunakunywa soda na biskuti. Nilikaa mpaka mida ya saa 1 usiku. Wakati qa kurudi home sikutaka kupita main road nikapita njia za vivhochoroni aisee kona ya kwanza tu nikavamiwa na Kaka yake Nyazala na vijana wengine watatu, nikapigwa fimbo mbichi ya begani 🤣🤣🤣
Nikaanguka nikajifanya nimezimia, Nyanzala akaanza kugombana na wale vijana na Kaka yake akawa anamtukana huku anamchapa makofi. Wakati huo kuna giza na mbalamwezi tu halafu ilikuwa ni December kipindi mahindi ndio yanaanza kuzaa. Bhanaa wewee baada ya kuona wanagomban niliinuka pale na sandals nimezishika mkononi nduki ya 10000km/hour 🏃♂️💨💨💨💨 mpaka home ndani hata sikula ile usiku mpaka Bibi akauliza nani huyo? Nikamwambia Mimi b😃😃😃 kesho yake saa 2 asubuhi habari zilishatapakaa kijiji chote 🤣🤣🤣 Marehemu Babu akanifuata mpaka chumbani niliko lala wacha aniseme. Kijijini taarifa zinaenea haraka kama moto wa petrol 😆🙌
Itaendelea