kunze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 398 Reaction score 469 Apr 25, 2018 #1 Yaani nikiiona hii Picha,inanichanganya sana kiasi cha kushindwa kuvaa vest au kutembea kifua wazikwenda hata dukani kwa Mpemba hapo. Maana kwa mwili huu wa huyo mpachika mabao hatareee,nikijiangalia vimbavu vyangu,naishia kuvaa shat la mikono mirefu kuficha kabisa mbavu zangu. Nawashauri wenzangu, msiwe mnavaa vest au tumbo wazi mwili mbaumbau. Yale Yale Puna.
Yaani nikiiona hii Picha,inanichanganya sana kiasi cha kushindwa kuvaa vest au kutembea kifua wazikwenda hata dukani kwa Mpemba hapo. Maana kwa mwili huu wa huyo mpachika mabao hatareee,nikijiangalia vimbavu vyangu,naishia kuvaa shat la mikono mirefu kuficha kabisa mbavu zangu. Nawashauri wenzangu, msiwe mnavaa vest au tumbo wazi mwili mbaumbau. Yale Yale Puna.
ZOPPA JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 2,729 Reaction score 2,891 Apr 25, 2018 #2 Haaa jeshi la polisi