kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 398
- 469
Yaani nikiiona hii Picha,inanichanganya sana kiasi cha kushindwa kuvaa vest au kutembea kifua wazikwenda hata dukani kwa Mpemba hapo.
Maana kwa mwili huu wa huyo mpachika mabao hatareee,nikijiangalia vimbavu vyangu,naishia kuvaa shat la mikono mirefu kuficha kabisa mbavu zangu.
Nawashauri wenzangu, msiwe mnavaa vest au tumbo wazi mwili mbaumbau.
Yale Yale Puna.