Kijijini wananiita Daktari

Kijijini wananiita Daktari

Baada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.

Mama yeye anasema akivaa barakoa hapumui vizuri na wengine pia wanasema hivyohivyo ila mimi nimevaa naona kawaida na sema kweli nimependeza sana. Hadi sasa vijana wa kijijini wananiita Daktari maana nimevaa na shati refu jeupe.

Asubuhi navaa gloves na barakoa pamoja na shati langu jeupe refu naenda senta naongea nao yaani kama daktari na wengine wanajua kuwa naweza kutibu kumbe bado sijajua.

Sasa ni wiki imepita kila mtu anaiita daktari, daktari yaani ni raha kwa kweli na nimeomba wanitumie miwani yenye uzi wa kuning'inia ili wajue kabisa ni daktari.

Leo asubuhi walikuwa waniuliza mambo mengi sana hapa kijijini yanayohusu Corona nimewajibu vyema kabisa. Napendwa sana na wananchi yaani kila kitu kigeni huwa nawaonesha mimi pale kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😛 we jamaa km unayoandika hapa unatunga mwenyewe basi unakipaji sana cha kuchekesha geuza hivi vichekesho ongeza udabwi dabwi rekodi kwenye camera tupia youtube huko au ingia mkata na jamii forum uwe unatupia humu. mfano wa joti tv. hakika hutajuta...
 
Write your reply...HAKUNA CORONA NI STORY ZA KUFIKIRIKA TU MKUU DAKTAR WA MENO MBONA MI KILA SIKU NADHURURA SIPATI
 
😀 😀 😀 [emoji14] we jamaa km unayoandika hapa unatunga mwenyewe basi unakipaji sana cha kuchekesha geuza hivi vichekesho ongeza udabwi dabwi rekodi kwenye camera tupia youtube huko au ingia mkata na jamii forum uwe unatupia humu. mfano wa joti tv. hakika hutajuta...
Hiv mzee inawezekana kuingia mkataba na hawa mabepari wa jf? Wakulipe?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Kijiji cha msela huenda bado wanajua lowassa ni waziri mkuu..
"ninawajibu kila kitu kuhusiana na corona pia kila kitu kipya Mimi ndo huwa nawaonesha....." kuna watu pepo wataiona😂😂😂😂
 
Baada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.

Mama yeye anasema akivaa barakoa hapumui vizuri na wengine pia wanasema hivyohivyo ila mimi nimevaa naona kawaida na sema kweli nimependeza sana. Hadi sasa vijana wa kijijini wananiita Daktari maana nimevaa na shati refu jeupe.

Asubuhi navaa gloves na barakoa pamoja na shati langu jeupe refu naenda senta naongea nao yaani kama daktari na wengine wanajua kuwa naweza kutibu kumbe bado sijajua.

Sasa ni wiki imepita kila mtu anaiita daktari, daktari yaani ni raha kwa kweli na nimeomba wanitumie miwani yenye uzi wa kuning'inia ili wajue kabisa ni daktari.

Leo asubuhi walikuwa waniuliza mambo mengi sana hapa kijijini yanayohusu Corona nimewajibu vyema kabisa. Napendwa sana na wananchi yaani kila kitu kigeni huwa nawaonesha mimi pale kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
upo karibu kutolewa posa

Kuna kipindi ulijinasibu hapa jukwani kuwa unahitaji kufanya upasuwaji kwa mafunzo uliyoyapata YouTube,vipi na iyo elimu unaitumia apo kijijini kwa sasa
 
Back
Top Bottom