kijipu puani

LadySwa

Member
Joined
Jan 25, 2009
Posts
77
Reaction score
6
jamani daktari gani Dar anaweza kumsaidia ndugu yangu ambaye ni mvulana miaka 19 mwaka wa pili ana kijipu kinaota ndani ya pua na kinamletea maumivu baada ya muda kinatoweka na baada ya miezi kinarudi .pia aliyewahi pata hii shida atupe atupe ushauri.
 
Me pia nasumbuliwaga hii kitu naomba msaada wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…