JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hili swala lina ufisadi mwingi sanaWalinzi shirikishi hatuwaoni wakilinda, sasa kwanini tulipie dhuluma?
Serikali ya mtaa imeajiri watu wanne, je hao wanatosha kweli kulinda mtaa wenye nyumba zaidi ya 4000?
Ndio tatizo lenu CCM. Hamuanzishi miradi ili kumsaidia mwananchi, mnaanzisha miradi ili mpige. Mbaya sana hii tabiaHili swala lina ufisadi mwingi sana
Mara takataka mara shirikishi aisee watuache kidogoWatoe risiti za EFD kwanza
Halafu ijulikane usimamizi wa hizo Fedha siyo kuleta Ujanja ujanja watanzania wa Leo siyo wa Jana
Michango imekuwa mingi mno aisee
Haya Mambo yataigharimu CCM 2025Ndio tatizo lenu CCM. Hamuanzishi miradi ili kumsaidia mwananchi, mnaanzisha miradi ili mpige. Mbaya sana hii tabia
Naunga mkono hojaWatoe risiti za EFD kwanza
Halafu ijulikane usimamizi wa hizo Fedha siyo kuleta Ujanja ujanja watanzania wa Leo siyo wa Jana
Michango imekuwa mingi mno aisee
Mtaiba kura kama kawaida yenuHaya Mambo yataigharimu CCM 2025
Wananchi wanalipa. Kodi na tozo ili serikali iwapatie ulinzi na usalama wa mali zao hayo mambo ya shirikishi ni wizi wa maccmMaamuzi hayo yanatarajiwa kufanywa na Serikali ya Mtaa wa Bwawani Kata ya Kijitonyama, Dar es Salaam kwa wale watakaokaidi kulipa kutoa ushirikiano kwa ulinzi shirikishi.
Mwenyekiti wa Bwawani, Felicianus Kamkala amesema “Wapo baadhi ya raia wanaotaka kuleta mgomo wa kuchangia fedha za motisha kwa vijana wanaofanya zoezi la usalama mtaani, tumeandaa barua kwa Polisi Kata, tutawaletea hizo barua za kuwapeleka Kata kisha Mahakamani ili waone hili suala tupo nalo makini.”
Chanzo: EATV
Huyo Mwenyekiti wa Bwawani Felicius Kamkala hana akili kabisa.Maamuzi hayo yanatarajiwa kufanywa na Serikali ya Mtaa wa Bwawani Kata ya Kijitonyama, Dar es Salaam kwa wale watakaokaidi kulipa kutoa ushirikiano kwa ulinzi shirikishi.
Mwenyekiti wa Bwawani, Felicianus Kamkala amesema “Wapo baadhi ya raia wanaotaka kuleta mgomo wa kuchangia fedha za motisha kwa vijana wanaofanya zoezi la usalama mtaani, tumeandaa barua kwa Polisi Kata, tutawaletea hizo barua za kuwapeleka Kata kisha Mahakamani ili waone hili suala tupo nalo makini.”
Chanzo: EATV
Mwenyekiti atakuwa wa Bukoba huyu!Huyo Mwenyekiti wa Bwawani Felicius Kamkala hana akilikabisa.
Utampeleka mahakamani mtu kwa kutoshiriki sungusungu au kutolipia kwa sheria ipi?