Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Bodaboda wa Vingunguti mataa kila unayemtazama sura ni Mzee.
Ukihoji kwanini hakuna bodaboda kijana utaambiwa wale jamaa hawataki mgeni kijiweni kwao. Ukienda pale mgeni utafanyiwa vitimbwi vyote, watachanga pesa wakuitie polisi. Wakikushindwa kwa njia za kawaida watakuroga ukufe haraka.
Wale wazee jau sana. Jamaa mmoja alijipendekeza , walimdaka kama mkimbizi adakavyo na Migration officers, licha ya jamaa kufuata taratibu zimpasazo bodaboda kufuata. Bodaboda acheni roho za kichawi.
Mtu una miaka 50 , 60 bado unakimbiza upepo, haitoshi unawazibia vijana ridhiki.