Kijiwe Cha tunaoangalia Cafcl Al hilal vs Mamelod huku tukiomba Al ahal atoke kwenye mashindano

Kijiwe Cha tunaoangalia Cafcl Al hilal vs Mamelod huku tukiomba Al ahal atoke kwenye mashindano

Hali ni ngumu sana kwa Al ahly Egypt.
Siamini kuwa wanategemea mbeleko kutoboa. Wamechoka.
 
Ilo kundi anapita Al hilal na Mame.
mtoto wa caf ni Al ahly,kipindi Rais wa caf Issa Hayatolah Al ahly walifanya sana janja janja za kuhonga marefa na kupangiwa vibonde kwenye mzunguko ili watoboe.
 
Bora hilal washinde lakin sioni kama wanaweza toboa maana jamaa wanafika wao golini kwa hilal sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji23] Penalty ya Bangala hii.
 
Back
Top Bottom