mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #21
Ila asipigwe Zaid ya 2Al Hilal atapigwa huko Egypt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila asipigwe Zaid ya 2Al Hilal atapigwa huko Egypt
Sio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.Al Hilal atapigwa huko Egypt
KIUKWELU MIMI SIELEWI!!Sio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.
Lep mbabe Mamelody mbabe wa Al ahly katoa droo na Al ahly.
Al Hilal hata draw HATOAMBULIA kule Misri. Wala usijipe matumaini ya wongo.Sio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.
Leo mmbabe Mamelody mbabe wa Al ahly katoa droo na Al ahly.
Esperance ni bingwa mtetezi?Sio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.
Leo mmbabe Mamelody mbabe wa Al ahly katoa droo na Al ahly.
Yaani Al Hilal kapanda mtumbwi wa vibwengo, atapigwa kipigo Cha mbwa kokoAl Hilal hata draw HATOAMBULIA kule Misri. Wala usijipe matumaini ya wongo.
Wydad alimpiga Al ahly Moroco akabeba ndoo.Esperance ni bingwa mtetezi?
Esperance alikuwa bingwa?Sio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.
Leo mmbabe Mamelody mbabe wa Al ahly katoa droo na Al ahly.
Ibenge apambane apate hata sare tu huko Misri......hili kundi hatari sana.Bora hilal washinde lakin sioni kama wanaweza toboa maana jamaa wanafika wao golini kwa hilal sana.
nimechanganya mzee baba,bingwa ni wydad.Esperance alikuwa bingwa?
Ibenge anatoboa hili kundi Al ahly anatolewa.chini ya Motsepe janja janja za timu za Misri kwisha.Zamaleck kaisha jana Al ahly ataisha next week.Ibenge apambane apate hata sare tu huko Misri......hili kundi hatari sana.
Al Hilal atapigwa mkuu nakuambia... Kwanza fujo za mashabiki, moto nk zitawapa hofu mnoSio rahisi kiivyo mzee,wasudan wagumu.jana Al almareikh ya Sudan na Esparance bingwa mtetezi wametoka 1-1.
Leo mmbabe Mamelody mbabe wa Al ahly katoa droo na Al ahly.
Al hilal afungwi na Al ahaly,Al hilal atashinda au ata droo.uwezi amini lakini uo ndo ukweli.Al Hilal atapigwa mkuu nakuambia... Kwanza fujo za mashabiki, moto nk zitawapa hofu mno
tusubiri muda ndo hakimu mzuri.Al Hilal hata draw HATOAMBULIA kule Misri. Wala usijipe matumaini ya wongo.
Nashangaaa na mie hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rEsperance ni bingwa mtetezi?