911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M
wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza dakika zileeee ..! na hivyo matokeo kuamuliwa baada ya dakika hizo za nyongeza
MUHIMU: hisia hizi sio lazima ziwe 100% correct.
dokezo dogo- kesho besiktas atashinda dhidi ya mpinzani wake Beryan munich hivyo kwa mnao beti kwenye mechi hii wekeni mzigo wa kutosha.
yapi maoni yako?
--------------------------------------------------
-_-----------------------------------------------_-

NOTED.Mkuu hiyo mechi ni keshokutwa.. Kesho ni Manchester United vs Sevilla pale Old Trafford na Roma vs Shakhtar Donestik itakayopigwa Stadio Olimpico pale Roma..
notedMleta mada huna facts ila Mihemko tu kwanza ikitokea 0-0 haina haja ya kuongeza muda moja kwa moja Barcelona amepita.
--------------------------------------------------
-_-----------------------------------------------_-
kashata na
gahawa vimeisha
katika kijiwe chetu.
ni muda wa kulala
topic closed
gahawa vimeisha
katika kijiwe chetu.
ni muda wa kulala
topic closed