KIJIWENI LEO: Dakika 120 kuamua matokeo kati ya Chelsea na Barcelona kesho

KIJIWENI LEO: Dakika 120 kuamua matokeo kati ya Chelsea na Barcelona kesho

Kelele nyiiingi haya ongeeni sasa...huyo ndiye la pulga kapiga goli safi kabisa kama kawaida yake,, na katoa assist kwa dembele...


Barca 2-0 Skentait...Aggregate Barca 3-1 Skentait

Half time now.....
 
wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza dakika zileeee ..! na hivyo matokeo kuamuliwa baada ya dakika hizo za nyongeza

dokezo dogo- kesho besiktas atashinda dhidi ya mpinzani wake Beryan munich hivyo kwa mnao beti kwenye mechi hii wekeni mzigo wa kutosha.
FT Besitkas 1 - 3 Bayern Munchen

FT Barcelona 3 - 0 Fungu La Kukosa
 
Back
Top Bottom