KIJIWENI LEO: Dakika 120 kuamua matokeo kati ya Chelsea na Barcelona kesho

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,461
Reaction score
4,272
heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M

wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza dakika zileeee ..! na hivyo matokeo kuamuliwa baada ya dakika hizo za nyongeza


MUHIMU: hisia hizi sio lazima ziwe 100% correct.

dokezo dogo- kesho besiktas atashinda dhidi ya mpinzani wake Beryan munich hivyo kwa mnao beti kwenye mechi hii wekeni mzigo wa kutosha.

yapi maoni yako?

Mkuu hiyo mechi ni keshokutwa.. Kesho ni Manchester United vs Sevilla pale Old Trafford na Roma vs Shakhtar Donestik itakayopigwa Stadio Olimpico pale Roma..
NOTED.

Mleta mada huna facts ila Mihemko tu kwanza ikitokea 0-0 haina haja ya kuongeza muda moja kwa moja Barcelona amepita.
noted

--------------------------------------------------
-_-----------------------------------------------_-

kashata na
gahawa vimeisha
katika kijiwe chetu.
ni muda wa kulala
topic closed
 
Kesho kama kawaida tutawaacha barca wacheze watakavyo ila wakijisahau tunapiga vya kushtukiza then tunarudi nyuma kulinda kambi.
matokeo yake yatapelekea mashambulizi makali ambayo yatasababisha wasawazishe na hivyo dk 90 kuisha kwa sare
 
Barca atafungwa kwake na rekodi imekaa hivi

Mara ya mwisho kukutana Chelsea walitolewa na msimu wa nyuma yake Barca walitolewa so kwa msimu huu Barca anatolewa mashindanoni.

Hizi timu huwa zinalipizana visasi yaani ukinitoa leo basi mimi nakutoa kesho.

It's time for Barcelona to shade tears.
 
Mkuu hiyo mechi ni keshokutwa.. Kesho ni Manchester United vs Sevilla pale Old Trafford na Roma vs Shakhtar Donestik itakayopigwa Stadio Olimpico pale Roma..
Asante kwa marekebisho mkuu
 
Unataka kusema kwa kuwa mechi ya kwanza alishinda tano kesho atalegeza???
 
Chelsea akitoa walau suluhu nitastafu kufatilia kabumbu.
kustafu kufuatilia kabumbu ni sawa na kuziba pua kwa muda wa dakika 15 bila kupumua. ni kama haiwezekani vile...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…