BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Haukuwa serious bila shaka[emoji3]
Mkuu nina imani utaitendea vyema kauli yako,nikutakie maisha mema.Barcelona wakiifunga Chelsea najitoa Jf.....Barca hawana uwezo wa kuwatoa Chelsea
FT Besitkas 1 - 3 Bayern Munchenwakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza dakika zileeee ..! na hivyo matokeo kuamuliwa baada ya dakika hizo za nyongeza
dokezo dogo- kesho besiktas atashinda dhidi ya mpinzani wake Beryan munich hivyo kwa mnao beti kwenye mechi hii wekeni mzigo wa kutosha.
Vipi mzee baba, magoli ya leo assist katoa refa?Ninacho ogopa ni uongo uongo wa barcelona na marefa wao.
Ila ikiachwa mechi ikapigwa mano o mano
Anakufa barcelona
Nakumbusha tu ahadi yanguChelsea akifuzu Natangaza nitolewe jamii forum
Labda Barcelona ya huko kwenu NjombeBarcelona wakiifunga Chelsea najitoa Jf.....Barca hawana uwezo wa kuwatoa Chelsea
Vipi bado upo au unakusanya virago bado?Barcelona wakiifunga Chelsea najitoa Jf.....Barca hawana uwezo wa kuwatoa Chelsea
dah mkuu umetabiri vilevileBarca keshokutwa watakuwa na kazi nyepesi sana usishangae wakamtia chelsea 3 mtungi.