Ni kweli mkuu maana hicho kichwa ni zero kbsaUsiumize kichwa chako. Mimi sasa nina ignore post zake hata kama ameni-qoute.
Shukrani Mtani.. ila umepata lakini matokeo ya mechi ya Jana?[/QUOTE]SWALI LA KWANZA NA LA PILI NI MASWALI MAZURI AMBAYO MAJIBU YAKE ANAYO LWANADAMINA MASHABIKI TUTABAKI KUTOKA TUU MAPOVU HAPA MAANA YEYE NDO ALIKUJA NAYE NA ANAMFAHAMU VIZURI.
KUHUSU SWALA LA KULIPWA MILIONI TANO NAWEZA KUJIBU KWA SEHEMU MBILI KWANZA NI SWALA LA KIMKATABA HAO WANOLIPWA LAKI NANE NA WANA MCHANGO MKUBWA KWA TIMU IKIFIKIA DIRISHA LA USAJILI WATINGISHE KIBERITI KAMA RAMOS KAMA WATAKUWA WAZURI SANA WATONGEZEWA MKATABA KAMA SIO BASI HOJA YA SIJUI LAKI NANE, SIJUI LAKI TISA SIJUI MILION TUACHANE NAYO.
PILI NI KASUMBA KWA TIMU ZA BONGO KUJISIKIA INFERIOR KWA WAGENI NA KUTOWAPA MDA WA KUTOSHA KUWAFANYIA MAJARIBIO.
HAHAHAAH SWALI LA MWISHO LINACHEKESHA KIDOGO HAHAAH WACHEZAJI WENGI WAAFRIKA WANADANGANYA UMRI SIWEZI KULIZUNGUMZIA SANA HAHAHAAH. ASANTE MTANI
Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?Mama yangu amekujaje hapa? Tatizo la watu wenyewe ufahamu mdogo! Anyway sikushangai, tabia zako ni sawa tu nikiuita shoga, hahahaha! Yaani chakula cha wanaume wenzio!
Mama yako bila bwana ungezaliwa wewe?Kumbe mtu mwenyewe mlupo?Katafute bwana mimi sina time na malaya wachafu. Umeanzwa na baba yako ndio maana unashobokea watu.
Hizo ndio mbinu zenyewe.[/QUOTE]NIMEYAPATA MTANI HONGERA MTANI ILA NAONA USHINDI WAKO WA GOLI MOJA, MOJA NAHISI UNAISHIWA MBINU MTANI
Mwambie mjinga mwenzio kama anawashwa anakatafute bwana au kama vipi waweza kumsaidiaBinti mbona unapaniki?? Umesema turudi kwenye mada.. hiyo ndo mada??
Wewe ni nani mpaka uniambie nikae kimya?Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?
Acha hayo mambo.
Mkuu, hakuna anayebisha kuhusu msimamo wa ligi. Mnyama anaongoza kwa point nne. Tunasema tu ligi bado.
Mjinga mwenzangu Ngarna.. huyu Mnyama mkali kabisa mwituni.. pengine kuliko wote anawafanya watu baadhi ya fyuzi katika ubongo wao ziachie.. Ona sasa mfano huyu binti kilichomkuta?? Binti mzuri tu.. lakini kashachanganyikiwa kisa Simba.Mwambie mjinga mwenzio kama anawashwa anakatafute bwana au kama vipi waweza kumsaidia
Kumbe! Basi sawaMjinga mwenzangu Ngarna.. huyu Mnyama mkali kabisa mwituni.. pengine kuliko wote anawafanya watu baadhi ya fyuzi katika ubongo wao ziachie.. Ona sasa mfano huyu binti kilichomkuta?? Binti mzuri tu.. lakini kashachanganyikiwa kisa Simba.
Huyu ni mmoja ambaye ameamua kujiweka wazi, jamiiforums imemuona na hata dunia naamini imemuona. Je ni wangapi wako mitaani?? Hili ni janga.. Sasa hadi kufika mwakani mwezi wa 3 si tutakua tumeona mengi sana.
Ushauri wangu serikali ijenge matawi mengi ya mirembe hospital katika mikoa mbali mbali ili iweze kuhimili ili janga.. na nashauri ianze na mtaa alipo huyu binti galatia mana atawaharibu na mabinti wenzake.. maana ugonjwa wake unaonekana ni mkali sana.
Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?
Acha hayo mambo.
Ni kukushauri kuwa matusi hayasaidii kujenga hoja kwenye thread tunayoijadiliWewe ni nani mpaka uniambie nikae kimya?
Wewe ni nani mpaka uniambie nikae kimya?
Mkuu unajua Mnyama mkali huwa watu wanapagawa wakiona yuko kileleniMkuu umememshauri vyema kapaniki.. sio yeye ni Mnyama ndo amemfanya awe katika hali kama hiyo.
Umenena vyema sana Mkuu.. Heshima kwako.Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!