Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kumbe mtu mwenyewe mlupo?Katafute bwana mimi sina time na malaya wachafu. Umeanzwa na baba yako ndio maana unashobokea watu.
 
SWALI LA KWANZA NA LA PILI NI MASWALI MAZURI AMBAYO MAJIBU YAKE ANAYO LWANADAMINA MASHABIKI TUTABAKI KUTOKA TUU MAPOVU HAPA MAANA YEYE NDO ALIKUJA NAYE NA ANAMFAHAMU VIZURI.

KUHUSU SWALA LA KULIPWA MILIONI TANO NAWEZA KUJIBU KWA SEHEMU MBILI KWANZA NI SWALA LA KIMKATABA HAO WANOLIPWA LAKI NANE NA WANA MCHANGO MKUBWA KWA TIMU IKIFIKIA DIRISHA LA USAJILI WATINGISHE KIBERITI KAMA RAMOS KAMA WATAKUWA WAZURI SANA WATONGEZEWA MKATABA KAMA SIO BASI HOJA YA SIJUI LAKI NANE, SIJUI LAKI TISA SIJUI MILION TUACHANE NAYO.
PILI NI KASUMBA KWA TIMU ZA BONGO KUJISIKIA INFERIOR KWA WAGENI NA KUTOWAPA MDA WA KUTOSHA KUWAFANYIA MAJARIBIO.
HAHAHAAH SWALI LA MWISHO LINACHEKESHA KIDOGO HAHAAH WACHEZAJI WENGI WAAFRIKA WANADANGANYA UMRI SIWEZI KULIZUNGUMZIA SANA HAHAHAAH. ASANTE MTANI
Shukrani Mtani.. ila umepata lakini matokeo ya mechi ya Jana?[/QUOTE]
NIMEYAPATA MTANI HONGERA MTANI ILA NAONA USHINDI WAKO WA GOLI MOJA, MOJA NAHISI UNAISHIWA MBINU MTANI
 
Shukrani Mtani.. ila umepata lakini matokeo ya mechi ya Jana?
NIMEYAPATA MTANI HONGERA MTANI ILA NAONA USHINDI WAKO WA GOLI MOJA, MOJA NAHISI UNAISHIWA MBINU MTANI[/QUOTE]
Hizo ndio mbinu zenyewe.
 
Mama yangu amekujaje hapa? Tatizo la watu wenyewe ufahamu mdogo! Anyway sikushangai, tabia zako ni sawa tu nikiuita shoga, hahahaha! Yaani chakula cha wanaume wenzio!
Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?

Acha hayo mambo.
 
NIMEYAPATA MTANI HONGERA MTANI ILA NAONA USHINDI WAKO WA GOLI MOJA, MOJA NAHISI UNAISHIWA MBINU MTANI
Hizo ndio mbinu zenyewe.[/QUOTE]
HAHAHAHAHHA NINA MASHAKA NA MBINU ZAKO TUSUBIRI HILI LIGI BADO MBICHI
 
Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?

Acha hayo mambo.
Wewe ni nani mpaka uniambie nikae kimya?
 
Mlupo anayetembea na baba yake mfano wewe hata ukimtia kwenye chupa atatoa kidole. Peleka uwanja wa fisi utapata wa standard yako.
 
Mwambie mjinga mwenzio kama anawashwa anakatafute bwana au kama vipi waweza kumsaidia
Mjinga mwenzangu Ngarna.. huyu Mnyama mkali kabisa mwituni.. pengine kuliko wote anawafanya watu baadhi ya fyuzi katika ubongo wao ziachie.. Ona sasa mfano huyu binti kilichomkuta?? Binti mzuri tu.. lakini kashachanganyikiwa kisa Simba.

Huyu ni mmoja ambaye ameamua kujiweka wazi, jamiiforums imemuona na hata dunia naamini imemuona. Je ni wangapi wako mitaani?? Hili ni janga.. Sasa hadi kufika mwakani mwezi wa 3 si tutakua tumeona mengi sana.

Ushauri wangu serikali ijenge matawi mengi ya mirembe hospital katika mikoa mbali mbali ili iweze kuhimili ili janga.. na nashauri ianze na mtaa alipo huyu binti galatia mana atawaharibu na mabinti wenzake.. maana ugonjwa wake unaonekana ni mkali sana.
 
Kumbe! Basi sawa
 
Kama umechoka kuchangia kaa kimya, nimeona katika comment wewe ndo umeanza matusi kwahivyo hapa ni ushabiki wa Simba na Yanga matusi ya nini.?

Acha hayo mambo.

Mkuu umememshauri vyema kapaniki.. sio yeye ni Mnyama ndo amemfanya awe katika hali kama hiyo.
 
Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
 
Mkuu umememshauri vyema kapaniki.. sio yeye ni Mnyama ndo amemfanya awe katika hali kama hiyo.
Mkuu unajua Mnyama mkali huwa watu wanapagawa wakiona yuko kileleni

Hana haja ya kutumia fedha nyingi kwa wachezaji kusajili, lakini angalia mfano Chirwa 200ml na huku wanatamani wawachukue kila mchezaji wa Simba

Hapa Tanzania vyuo vya Soka ni viwili tu ni Simba SC na Mtibwa
 
Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
Umenena vyema sana Mkuu.. Heshima kwako.
 
Back
Top Bottom