Mkuu
sembo usiniwekee maneno yako mdomoni mwangu, tena ukome kabisa!
Mimi naamini kabisa mnyama hawezi kupiga ligi hadi mwisho akiwa salama, ataanguka tu. Kwa taarifa yako tukikutana tunachukua pointi zetu 3, pointi moja iliyosalia wataichua akina Toto, Mbao na Kagera huku Kanda ya Ziwa.
Piga ua garagaza, Yanga ndiye Bingwa 2016/2017! Mikia haina washambuliaji wa kuweza kufunga mechi zote zilizosalia, sasa hivi inabahatisha bahatisha tu kupata kigoli kimoja kimoja kupitia viungo Mzamiru Yassin na Mohamed Ibrahim. Kichuya tayari ame_carrass!
Nayaweka muhuri maneno haya ili yatakapotimia wewe
sembo na wenzako wenye msimamo kama wako mje mtoe ushuhuda hapa. SIGNED AND SEALED by
Makoye Matale this 30th day of December, 2016 at Mabuki, Mwanza Tanzania.