Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Simba Jana imeonesha Mpira Mbovu Mukiendelea Kucheza style ile Yanga atawapiga Hata goli 8Hivi ulitegemea kama banda atacheza mpira mwingi kama ule jana.. na huyo ni sub.. mwinyi kazimoto.. hua napenda kumuita ball dancer.. sasa naye ni sub.. nadhani mnamtambua vizuri hasa hasa juma seif kijiko.. kuna mavugoal.. huyu rekodi zake tu zinatosha kujigamba.. japo yupo kwenye mapito.. kuna beki kisiki murshid.. ukitaka kupata habari yake muulize ayew wa Ghana alichomfanya katika mechi za kufuzu CAF.. kuna kiberenge hamad juma.. what more can I say.. kuna manyika jr n.k dah Sub wametimia sana.. Hivyo hilo suala la red card, sijui majeruhi havitatuzuia kamwe.
Ruvu Jana imeonekana Timu Bora Kuliko Simba Sawa Mumeshinda Lakini Simba ya Jana siyo Simba ile niliyoiona Mzungo wa Kwanza.