James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kuna inshu nyingine nimeibaini. Yaani ni makanisa machache sana kuona wapiga vinanda wakitoa sadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa unamwimbia Mungu huwezi kuchokaDuh ungechoka kwakwel, bora umuombe akuletee mwenza at least
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sijawahi ona upweke ukamuua mtu, labda mtua aamue kujitia kambaKunaki peke yako Dunia nzima utakufa tu kw upweke. So haina maana
Wao ndio wapiga sadaka watoe tena yanini labda wafanye danganya totoKuna inshu nyingine nimeibaini. Yaani ni makanisa machache sana kuona wapiga vinanda wakitoa sadaka
Nimejifunza kitu sikulijua hili kablaUkiwa unamwimbia Mungu huwezi kuchoka
Uwepo wake unakuwepo
Jaribu
Unapoishi kuna Kanisa lolote jirani?
Yeah lipo, ila sijawahi enda sijui nitaanzajeUnapoishi kuna Kanisa lolote jirani?
Nenda j2Yeah lipo, ila sijawahi enda sijui nitaanzaje
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu
Hapana nitatoa sauti, ndoto niwe top level one day kama Saint AnneSawa Mkuu
Huko utaona wanaimba,na wewe utafuatisha hata kimyakimya
Mimi mwenyewe kuimba sijuiHapana nitatoa sauti, ndoto niwe top level one day kama Saint Anne
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Bas kwa pamoja tujifunze kama hudanganyiMimi mwenyewe kuimba sijui
Unasafir na nin ssa hakuna watuMimi itakua mwendo wa kunywa pepsi na kusafiri tu dunia nzima
Hakika
Sijui yani nimejikuta nimejibu tu bila kufikiria
Sidhani kama kufikiria kunaleta majibu sahihi mda wote lakin, walio ktk vyumba vya mtihani wote hujibu kwa kufikiriaSijui yani nimejikuta nimejibu tu bila kufikiria