Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wala taasisi hizo hazijanyong'onyea ila zimepata viongozi wanaojua wajibu wao badala ya kuzitumia taasisi hizo kwa malengo yao binafsi ya kisiasa.Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua.
Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila kutekeleza majukumu yake kwanini wafadhili wasisitishe misaada dhidi yao kwa sababu wanatumia fedha hizo kinyume na malengo? Wakina Kijobi Simba, Nkya na Karume waliwezaje kutetea wananchi adharani mara tu uvunjifu wa haki unapotendeka? Kwanini viongoz wa Sasa wanashindwa? Mawakili wanaonewa TLS wapo kimya, wananchi wananyanyashwa Wapo kimya, wanasubiri siku wanyanyaswe wao viongozi?
Tatizo wabakia uanaharakati wa chadema badala ya kutetea haki za wananchi! Wenyewe wanachojua, haki ni lissu kuwa raisiKwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua.
Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila kutekeleza majukumu yake kwanini wafadhili wasisitishe misaada dhidi yao kwa sababu wanatumia fedha hizo kinyume na malengo? Wakina Kijobi Simba, Nkya na Karume waliwezaje kutetea wananchi adharani mara tu uvunjifu wa haki unapotendeka? Kwanini viongoz wa Sasa wanashindwa? Mawakili wanaonewa TLS wapo kimya, wananchi wananyanyashwa Wapo kimya, wanasubiri siku wanyanyaswe wao viongozi?
Kama sivyo kwanini mlimshambulia kwa risasi??Tatizo wabakia uanaharakati wa chadema badala ya kutetea haki za wananchi! Wenyewe wanachojua, haki ni lissu kuwa raisi
Wala taasisi hizo hazijanyong'onyea ila zimepata viongozi wanaojua wajibu wao badala ya kuzitumia taasisi hizo kwa malengo yao binafsi ya kisiasa.
Kwa mfano taasisi kamaTLS ni chama cha kitaaluma kwa wanasheria siasa za vyama sio kazi yake. Lakini kibaraka wa ubeberu tundu lissu alipofanikiwa kua kiongozi tofauti na miaka mingine TLS ikawa kama tawi la chadema kama ilivyo bawacha na bavicha. Alipokuja kibaraka mwingine wa mabeberu fatma karume mambo yakawa vilevile.
TLS sasa inaelekea imerejea kwenye majukumu yake.
Wanafanya kazi vizuri sana ila hawafanyi kwa makelele kama hao uliowataja