MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Salama Ndugu zangu?
Maisha hayapimwi kwa wingi wa mali, fedha, dhahabu n.k vinavyomilikiwa na mtu, familia, ukoo, Mtaa, kijiji, Wilaya, Mkoa, Taifa, Bara.
Bali maisha yanapimwa kwà UTU (Akili, Elimu, Maarifa na Maono). Faida za UTU ni kuwa na AFYA kwenye AKILI, kuipa ELIMU uhai, kuyapa Maarifa Uzima na kuyafanya Maono kuwa na Pumzi ya kutosha.
Note 1: Tumeumbwa ili kuja kujibu MITIHANI YA MAISHA, na ili tuweze kuyashinda MAJARIBU YA DUNIA.
Ushauri kwà Viongozi pamoja na Watumishi wa Umma wa Taifa langu la Tanzania. Ndugu zangu, chondechonde, embu kuweni na UTU. Acheni kutesa watu wasiokua na hatia. Msitumie vyeo vyenu kujinufaisha wenyewe pamoja na familia zenu, marafiki, ndugu na jamaa zenu. Mjajisababishia kuwa na matatizo ya AFYA YA AKILI.
Na ni hatari sana kwà mifumo ya Serikali kuwa na idadi kubwa ya Viongozi na Watumishi wenye tatizo la Afya ya Akili. Mnatesa watu sana!
Note 2: Ukitaka kuacha LEGACY jitahidi kuishi kwà kuzingatia UTU