Shalom wana JF
Nimefanikiwa kukamata trekta ya Kilimo. Natafuta chuo cha udereva wa opereta wa trekta ya kilimo. Kuna dogo yuko Dar nataka nimkabidhi trekta, lakini kwanza nataka apate mafunzo ya namna ya kuitumia trekta.
Nisaidieni, chuo gani kinatoa hayo mafunzo?