Kijufunza Udereva wa Trekta

Kijufunza Udereva wa Trekta

Anithape

Senior Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
131
Reaction score
136
Shalom wana JF
Nimefanikiwa kukamata trekta ya Kilimo. Natafuta chuo cha udereva wa opereta wa trekta ya kilimo. Kuna dogo yuko Dar nataka nimkabidhi trekta, lakini kwanza nataka apate mafunzo ya namna ya kuitumia trekta.
Nisaidieni, chuo gani kinatoa hayo mafunzo?
 
post za maana huwa hazina wachangiaji, ila veta natumai ni wataalamu wa vyombo vya moto na mitambo patamfaa sana sema wenyewe veta hawana hata trekta mkuu
 
Tafuta madereva wa halmashauri wanaokokota matera ya Takataka watakusaidia..
Kingine huyo dereva wako awe chini ya mda fulani na mtu mahiri, kwa kuwa wakulima awahangalii trekta bali Ulimaji..
Je, Unakatua vizuri?
 
Back
Top Bottom