Kijulikanacho kwa Icardi ndicho kilichofichwa kwa Naingollan

Gaucho yalimkuta haya... na Pato yalimaliza kipaji chake...
 
Kama 7bu nidhamu basi kocha yuko sawa. Yaani hilo ni fundisho kubwa sana kwa wengine walio na ndoto za kucheza timu ya Taifa ya Belgium...
 
Kuhusu kutemwa kwa Mauro Icardi ikoje? Au kesi zinafanana??? Naomba jibu maana huenda nilikuwa nalaumu bure makocha hawa wawili, Sampaoli na Martinez...
 
Kuhusu kutemwa kwa Mauro Icardi ikoje? Au kesi zinafanana??? Naomba jibu maana huenda nilikuwa nalaumu bure makocha hawa wawili, Sampaoli na Martinez...
Kesi ya Mauro Icardi ni nyingine kabisa, yenyewe ni kuwa ametoka na aliyekuwa mke wa mchezaji mwenzake Max López Anaitwa Wanda Nara na pia kutokuwa na mahusiano mazuri na Lionel Messi ndo kulikopelekea Icardi kutoitwa timu ya taifa suala la Kiufundi ni kupotosha umma tu.
 

alikua amtumie watu wapate kuona kama hafiti. lakini kwa kujifanyia tu hayo bado hajawapa majibu watu.
Timu itakapofanya vibaya hapo ndo atakapojua mana ajiandae na majungu mazitomazito.
 
OK sawa. Ishu zile zile tu za kinizamu ktk milengo tofauti. Hata hivyo Argentina sidhani hata wataingia 16 bora ingawa mpira pia huwa unadunda...

Shukrani Mkuu maana nilikuwa sijui chochote hapa...
 
OK sawa. Ishu zile zile tu za kinizamu ktk milengo tofauti. Hata hivyo Argentina sidhani hata wataingia 16 bora ingawa mpira pia huwa unadunda...

Shukrani Mkuu maana nilikuwa sijui chochote hapa...
Shukrani mkuu!
 
hahaaaa una kumbuka eeehh"" Jamaa akawa hapokei hata mkono wake .....dahhhh "" kweli papuchi noma "" ila huo icard ndio kazidi aiseeee...kapitiliza
Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
 
Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
Ni kweli mkuu, demu kamtunuku jamaa akaona Mara moja sio noma ngoja nipige tu. Ohoooo kumbe demu ndo akadata kabisaaaaa mpaka akaomba ndoa
 
alikua amtumie watu wapate kuona kama hafiti. lakini kwa kujifanyia tu hayo bado hajawapa majibu watu.
Timu itakapofanya vibaya hapo ndo atakapojua mana ajiandae na majungu mazitomazito.
Ronadinho alichukuliwa na romalio aka hachwa... kombe la dunia... huyo na nagolian sijui... amepigiwa simu mara kadhaa ame pewa fursa mara kadhaa lakini hakuzitaka yeye mwenyew na ndipo utovu wa nidhamu ulipo ibuka na ndipo alipo onekana hafiti katika mfumo wa kocha... kocha ameajiriwa na ni kazi yake mwacheni aitende kazi yake... hafai mpaka chama cha soka kina jua hafai hana busara kwa uongozi kwa wachezaji wenzie nk...

wewe jiulize kwanini vermaren anaitwa katik hiko kikosi...
 
Icardi kwanini asipewe hata nafasi ya kujaribu ubora wake? huko argentina
 

Huwezi fanananisha kabisa kesi ya Romario na hii. Ronaldinho hakuwa mbadala wa Romario. Romario ni striker Ronaldinho alikua akicheza winger. Timu ilishaamua kua Ronaldo ndio striker wao, Na kumuita Romario alafu waje wamuweka bench kwa Ronaldo engelikua ni jambo gumu. Mana Romario alikua ana kila sifa za kucheza. Kwahiyo yalipita maamuzi ya kisiasa. 1998 pamoja na 2002 Romario aliachwa sababu ni kumpa nafasi Ronaldo kujitawala. uwepo wa Romario ungelimfunika Ronaldo na Ronaldo kwa wakati ule alikua ndio nembo kuu ya biashara si Brazil si kwa Fifa si kwa Nike.

Lakini kivovote Brazil ilifanikiwa kupata mafanikio kwahiyo yale mazengwe yte waliyotenda hayakuonekanwa wala kuwa na nguvu tena. Ila kwa Belgium tuwasubiri baada ya kipigo kama robo au round 16 tupate majibu yake.
 
Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
hahaa...kwani ukishobokewa haukatai mzee ...kwahiyo leo hii ..mke wa best friend wako akikushobokea unakula papuchi tu...duhh
 
Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
hahahaa...sasa kama aliona papuchi ni Deal ..basiii atulie aache kulia lia ...
 
hata akiitwa nagoillan wata twaa hilo kombe... case ni zile zile tu kuachwa mchezaji mmoja na kuchukuliwa mwinginw... na watu walipinga kuachwa kwa romario na kujumuishwa ronaldihno lakini kilicho tokea ilibidi wakubali maamuzi ya scolali
 
Romario hits out at Brazil coach
May 10, 2002 Posted: 8:35 AM EDT (1235 GMT)

Romario fans lobby Scolari after the coach overlooked their hero




RIO DE JANEIRO, Brazil -- Romario has said he cannot believe he is not going to the World Cup and has hit out at coach Luiz Felipe Scolari.

The 36-year-old striker was left out of the 23-man squad on Monday despite massive public support.

Scolari, nicknamed "Big Phil", was blasted by the press with one newspaper labelling him "public enemy number one." But the coach stuck by his decision saying Romario was not picked because he missed the Copa America in Colombia last year.




After staying silent all week, Romario spoke out to reporters following a training session at Vasco da Gama, where he has been averaging more than a goal a game this season.

"I can't believe that not going to the Copa America has stopped me from going to the World Cup. Other players didn't go to the Copa and were picked again.

"It would be better if I were there, but I'm going to get on with my life. My conscience is clear, I'm going to get on with my business here and I hope he (Scolari) does the same there.

"As he says, I am no use technically or tactically in his view. He's made his choice. I consider myself good enough to be in the squad but the coach doesn't.

"Now, I'm going to look for strength with my parents, my wife, my children and my friends. The real reason for me not being picked will appear one day."


A man adds his name to a billboard petition on behalf of Romario
Romario asked to be left out of the Copa America squad to have eye surgery -- but then postponed the operation and went to Mexico with Vasco da Gama, a decision which is thought to have upset Scolari.

In 11 months as coach, Scolari has picked Romario just once. That was as captain in July's 1-0 World Cup qualifier defeat to Uruguay.

Romario was the hero of the victorious 1994 World Cup team, scoring five goals in the finals, but was left out four years ago in France.

Brazil are top seeds and favourites in group C with Turkey, China and Costa Rica the opposition.

Squad

Goalkeepers Rogerio Ceni (Sao Paulo), Marcos (Palmeiras), Dida (Corinthians)

Defenders Cafu (AS Roma), Belletti (Sao Paulo), Junior (Parma), Roberto Carlos (Real Madrid), Lucio (Bayer Leverkusen), Roque Junior (AC Milan), Anderson Polga (Gremio), Edmilson (Olympique Lyon)

Midfielders Gilberto Silva (Atletico Mineiro), Emerson Ferreira (AS Roma), Juninho Paulista (Flamengo), Kaka (Sao Paulo), Kleberson (Atletico Paranaense), Vampeta (Corinthians), Ronaldinho Gaucho (Paris St Germain)

Forwards Ronaldo (Inter Milan), Luizao (Gremio), Edilson (Cruzeiro), Denilson (Real Betis), Rivaldo (Barcelona)

CNN.com - Romario hits out at Brazil coach - May 10, 2002
 
Romario Not on World Cup Team
May 07, 2002|GRAHAME L. JONES | TIMES STAFF WRITER

Brazil Coach Luiz Felipe Scolari ignored intense public pressure, including some advice from President Fernando Henrique Cardoso, and left 1994 World Cup winner Romario off the 23-player roster he named Monday for Korea/Japan '02.

The decision to omit the 36-year-old Vasco Da Gama striker is likely to cause a furor that will abate only if Brazil wins the World Cup.

Otherwise, Scolari probably will pay with his job. Romario has been the top goal scorer in Brazil for the last two seasons.

As recently as Saturday, Scolari was sworn at and shoved by angry fans outside the Brazilian soccer federation's headquarters in Rio de Janeiro for continually leaving Romario off the national team for what he claimed were "tactical and technical" reasons.


Former coach Mario Zagallo bumped a then slightly injured Romario off his team on the eve of the 1998 World Cup and was fired after Brazil lost to France in the final. Similarly, former coach Wanderley Luxemburgo refused to take Romario to the Sydney 2000 Olympics and was ousted from his position after Brazil lost to eventual gold medalist Cameroon in the quarterfinals.

The only other notable player left off Brazil's roster was Djalminha, who did his cause little good last week when he head-butted Javier Irureta, his coach at the Spanish club Deportivo La Coruna.

Scolari selected 11 European-based players and 12 who play in the Brazilian league. Included in the team are the trio of Ronaldo, Rivaldo and Ronaldinho, who are likely to comprise Brazil's attack.
 
"Some people say I lost control, but they don't realise Romario has emotions too. If Pele and (Brazilian basketball star) Oscar can show their emotions, why can't Romario?"
Romario on shedding tears in a press conference where he asked in vain for Luiz Felipe Scolari to include him in the squad for Korea/Japan 2002

They said it: Romario
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…