Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
waendelee kusubiria mpaka ramadhani hiishe... ili wale eidHiyo ndio mambo ya utovu wa nidhamu, mkaidi hafaidi hadi siku ya IDD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waendelee kusubiria mpaka ramadhani hiishe... ili wale eidHiyo ndio mambo ya utovu wa nidhamu, mkaidi hafaidi hadi siku ya IDD
Kama 7bu nidhamu basi kocha yuko sawa. Yaani hilo ni fundisho kubwa sana kwa wengine walio na ndoto za kucheza timu ya Taifa ya Belgium...Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji alipoulizwa kuhusu kutomwita kiungo wa AS Roma, Radja Nainggolan kwenye kikosi chake akajibu kuwa ni kwa sababu za kiufundi mazima. Lakini wakati tunalijua sakata la Mauro Icardi basi yatupasa tujue na huku kinachoendelea.
Radja Nainggolan ni kiungo wa shoka ambae kiufundi ana fiti vema sana kwenye kikosi cha Roberto Martinez. Kitu kizuri ni kwamba Nainggolan anaweza kujipinda akacheza vema kokote pale kati kwaiyo kimfumo nampinga Martinez lakini kuna mahala naweza nikamwelewa yeye akiwa kama ni mtu mwenye mamlaka na wachezaji alionao kwenye kikosi.
Nainggolan ni mchezaji muasi. Ni mchezaji anaepinga vitu vingi wakati wachezaji wanaitwa kwenye timu ya taifa. Roberto Martinez wakati anajiunga na timu kwa mara ya kwanza aliweka wazi hataki mchezaji avute sigara wakati wa kambi lakini Nainggolan hakutii amri hii. Huyu alipewa chumba kizima ili aweze kuvuta sigara kila siku na kiufupi hakuna bosi ambae anakubali mfanyakazi awe juu yake.
Nainggolan alikasirika vibaya na kutukana na kupiga makelele sana hata mpaka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati anatolewa sub mechi na Italy kwenye michuano ile ya Euro ya mwaka juzi. Nainggolan alikamatwa na polisi akiwa amelewa wakati gari yake ikiwa imepata pancha lakini alichelewa mazoezi ya kiufundi huku Martinez akizumgumzia swala la nidhamu siku hiyo na kama haitoshi, Nainggolan alimuudhi sana Martinez baada ya kuonekana akicheza mechi ya kirafiki dhidi timu ya watoto huku akiondoka kwenye kambi ya timu ya taifa kwa sababu ya majeruhi na hii ilitokea miezi 3 baada ya Martinez kuchukua timu.
Kitu ambacho mashabiki wengi huwa hawakizungumzii ni nidhamu na vitu ambavyo vipo nje ya uwanja. Makocha huwa hawaogopi hata kufukuzwa kazi lakini hawako tayari kuona sikio likizidi kichwa na ni wazi hata bila ya kupepesa macho kwamba Martinez na Nainggolan haziivi. Hili sio swala binafsi tangu Martinez achukue timu limekuwa likimkera sana. Nainggolan hatii maelekezo yake. Kila anachoongea basi ni ama kinapingwa au hakifanywi vizuri na Martinez. Nainggolan ni "Rebellious figure" ndugu zangu anapokuwa timu ya taifa.
Mashabiki wanapaswa kulijua hili na ndio maana hata Wabelgiji wenyewe huwaoni wakilalamika chochote sana sana japo imewauma lakini alichofanya Martinez ni kulinda heshima ya timu. Makocha huwa wanaangalia vitu vingi kwa wachezaji wao zaidi tu ya vile ambavyo mashabiki wanavifurahia ndani ya uwanja.
Najua wapo walioumia lakini unapojua faida na maana ya nidhamu ndio unaweza kujua kwanini watoto wa kizungu huwa hawapigwi bali huwa wanapokonywa vile wavipendavyo. Kwa kocha kitu kikubwa anachoweza kukifanya ni kutomwita tu mchezaji. Martinez angeweza tu kumpiga faini Nainggolan kwa vitendo vyake lakini alijua kuwa atakapokosa kombe la dunia basi atajifunza somo. Ni maamuzi magumu kiukweli lakini mchezaji asiyetii amri za mwalimu ni sawa na mhalifu ambae anaevunja sheria.
Sema tu alichokosea Martinez ni kuudanganya umma lakini pengine angeweka wazi kama ukweli wa Icardi ujulikanavyo basi isingekuwa shida kubwa maana kwa wenzetu nidhamu ndio kila kitu haijalishi mchezaji ni muhimu kiasi gani kwenye timu na anategemewa vipi. Mimi binafsi najua uwezo na umuhimu wa Nainggolan lakini huwezi kuanza wala kujua jinsi ya kumlinda tu mchezaji asiyefuata amri za mwalimu bila ya kuangalia pia na upande wa pili.
Tatizo ni kwamba watu wameangalia upande mmoja peke yake lakini unapoweza kujivisha uhusika wa Martinez kama mwalimu basi unaweza kuelewa kwanini vitu vingine huwa vinafanyiwa maamuzi magumu. Kazi inaweza kupotea, mashabiki wakakutukana na kukuona mbaya lakini kila kazi inahitaji maadili na nidhamu. Mpira sio tu ndani ya uwanja bali tabia na mwonekano wa mchezaji nje ya uwanja pia.
Na moja kati ya vitu ambavyo vinafanya mpira wetu usiendelee ni kulea utovu wa nidhamu kwa sababu tu mchezaji fulani ni mzuri au anategemewa. Narudia alichokosea tu Martinez ni kusema kuwa kimfumo Nainggolan hamfai lakini hakuna shaka nidhamu ya Nainggolan ndio imemponza.
Sisi tumezoea kuona Kichuya akitolewa na kukataa kukaa benchi la ufundi akiweka headphone masikioni na mechi inayokuja akacheza tena kwa kuanza lakini tusikariri hivi pia na kwa wenzetu. Utovu wa nidhamu hauangalii uwezo wala kipaji, imewauma wengi Nainggolan kutoenda urusi lakini Je kocha asiamue kulingana na kile anachokiamini? tumsamehe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kutemwa kwa Mauro Icardi ikoje? Au kesi zinafanana??? Naomba jibu maana huenda nilikuwa nalaumu bure makocha hawa wawili, Sampaoli na Martinez...Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji alipoulizwa kuhusu kutomwita kiungo wa AS Roma, Radja Nainggolan kwenye kikosi chake akajibu kuwa ni kwa sababu za kiufundi mazima. Lakini wakati tunalijua sakata la Mauro Icardi basi yatupasa tujue na huku kinachoendelea.

Kesi ya Mauro Icardi ni nyingine kabisa, yenyewe ni kuwa ametoka na aliyekuwa mke wa mchezaji mwenzake Max López Anaitwa Wanda Nara na pia kutokuwa na mahusiano mazuri na Lionel Messi ndo kulikopelekea Icardi kutoitwa timu ya taifa suala la Kiufundi ni kupotosha umma tu.Kuhusu kutemwa kwa Mauro Icardi ikoje? Au kesi zinafanana??? Naomba jibu maana huenda nilikuwa nalaumu bure makocha hawa wawili, Sampaoli na Martinez...
Mourihno wachezaji wengi huwa hawafiti ktk mifumo yake lakini... wakienda sehemu zingine wana wika mf. Zeruzeru, Mo wengine utaongezea... hata kipindi cha babu pia wakina folan, veron, nk hawa kuwika ktk mifumo ya babu fergie lakini wali wika sehemu zingine...
bora huyu kocha kasema kweli kuliko kumuita na kuto mtumia, kama yahya toure yupo man city lakini hatumiki...
OK sawa. Ishu zile zile tu za kinizamu ktk milengo tofauti. Hata hivyo Argentina sidhani hata wataingia 16 bora ingawa mpira pia huwa unadunda...Kesi ya Mauro Icardi ni nyingine kabisa, yenyewe ni kuwa ametoka na aliyekuwa mke wa mchezaji mwenzake Max López Anaitwa Wanda Nara na pia kutokuwa na mahusiano mazuri na Lionel Messi ndo kulikopelekea Icardi kutoitwa timu ya taifa suala la Kiufundi ni kupotosha umma tu.
Shukrani mkuu!OK sawa. Ishu zile zile tu za kinizamu ktk milengo tofauti. Hata hivyo Argentina sidhani hata wataingia 16 bora ingawa mpira pia huwa unadunda...
Shukrani Mkuu maana nilikuwa sijui chochote hapa...
Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?hahaaaa una kumbuka eeehh"" Jamaa akawa hapokei hata mkono wake .....dahhhh "" kweli papuchi noma "" ila huo icard ndio kazidi aiseeee...kapitiliza
Ni kweli mkuu, demu kamtunuku jamaa akaona Mara moja sio noma ngoja nipige tu. Ohoooo kumbe demu ndo akadata kabisaaaaa mpaka akaomba ndoaIcardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
Ronadinho alichukuliwa na romalio aka hachwa... kombe la dunia... huyo na nagolian sijui... amepigiwa simu mara kadhaa ame pewa fursa mara kadhaa lakini hakuzitaka yeye mwenyew na ndipo utovu wa nidhamu ulipo ibuka na ndipo alipo onekana hafiti katika mfumo wa kocha... kocha ameajiriwa na ni kazi yake mwacheni aitende kazi yake... hafai mpaka chama cha soka kina jua hafai hana busara kwa uongozi kwa wachezaji wenzie nk...alikua amtumie watu wapate kuona kama hafiti. lakini kwa kujifanyia tu hayo bado hajawapa majibu watu.
Timu itakapofanya vibaya hapo ndo atakapojua mana ajiandae na majungu mazitomazito.
Ronadinho alichukuliwa na romalio aka hachwa... kombe la dunia... huyo na nagolian sijui... amepigiwa simu mara kadhaa ame pewa fursa mara kadhaa lakini hakuzitaka yeye mwenyew na ndipo utovu wa nidhamu ulipo ibuka na ndipo alipo onekana hafiti katika mfumo wa kocha... kocha ameajiriwa na ni kazi yake mwacheni aitende kazi yake... hafai mpaka chama cha soka kina jua hafai hana busara kwa uongozi kwa wachezaji wenzie nk...
wewe jiulize kwanini vermaren anaitwa katik hiko kikosi...
hahaa...kwani ukishobokewa haukatai mzee ...kwahiyo leo hii ..mke wa best friend wako akikushobokea unakula papuchi tu...duhhIcardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
hahahaa...sasa kama aliona papuchi ni Deal ..basiii atulie aache kulia lia ...Icardi kala papuchi halaf kaoa kabisa mzigo, ila mi simlaumu ukifatilia kile kisa dem wajamaa ndo kamshobokea mchiz akamtunuku papuchi for free nyie mlitaka aiache ili atangazwe anakibamia?
hata akiitwa nagoillan wata twaa hilo kombe... case ni zile zile tu kuachwa mchezaji mmoja na kuchukuliwa mwinginw... na watu walipinga kuachwa kwa romario na kujumuishwa ronaldihno lakini kilicho tokea ilibidi wakubali maamuzi ya scolaliHuwezi fanananisha kabisa kesi ya Romario na hii. Ronaldinho hakuwa mbadala wa Romario. Romario ni striker Ronaldinho alikua akicheza winger. Timu ilishaamua kua Ronaldo ndio striker wao, Na kumuita Romario alafu waje wamuweka bench kwa Ronaldo engelikua ni jambo gumu. Mana Romario alikua ana kila sifa za kucheza. Kwahiyo yalipita maamuzi ya kisiasa. 1998 pamoja na 2002 Romario aliachwa sababu ni kumpa nafasi Ronaldo kujitawala. uwepo wa Romario ungelimfunika Ronaldo na Ronaldo kwa wakati ule alikua ndio nembo kuu ya biashara si Brazil si kwa Fifa si kwa Nike.
Lakini kivovote Brazil ilifanikiwa kupata mafanikio kwahiyo yale mazengwe yte waliyotenda hayakuonekanwa wala kuwa na nguvu tena. Ila kwa Belgium tuwasubiri baada ya kipigo kama robo au round 16 tupate majibu yake.