Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Wengine video Kali mpaka waone magari na rangirangi. Hawajui maana ya creativity. Kiba kaamua kutoa video ya tofauti na tulivyozoea (magari) ndio maana mnaona mbaya! Kwa upande wangu video ya kiba ni nzuri na ameonesha utofauti.
Utofauti upi au zile taa kama yupo coke studio
 
,mie sinaga ushabiki wa ajabu ajabu,huwa nnasema pia mabaya ya alikiba,jkapo haiondoi ukweli kuwa Mimi ni blood fan!!,,!
Hata hivyo Uzi unataka ulinganishe kati ya video ya#kijuso na [HASHTAG]#ajeremix[/HASHTAG],,hivyo kama ulikuwa huzikibali zote ungesema na hatungefika huku,,ila kwa sababu umeponda moja kati ya mbili,hivyo kijuso kwako ndo nzuri kulingana na Uzi unavyojieleza,otherwise tusijikite kwenye uzi
Sijasema kijuso ni kali au hujaisoma vzur comment yangu.....ukiwa shabiki wa msanii utapenda tu nyimbo zake hata akitikea kaimbo utumbo utaushabikia tu.....kwng kijuso ni moja ya nyimbo mbaya kwa muda huu
 
Kwani ngoma mpya ni kijuso na aje rmx kama sio ushabiki ni nn mbona video kibao mpya hujafananisha
 
Hakuna ndoma ya Africa inayofanya vizuri kwa sasa zaidi ya marry you kuanzia Nigeria, south Africa, Zambia, Zimbabwe, Ghana, Uganda hadi Kenya, pamoja UK, Fanya utafiti
 
Aje remix aisee ni hatari tupu ushabiki pembeni ukweli uwekwe wazi...
Yani no magari yaliyopaki, no masofa na vitanda vya mahotel na apartment vyenye shuka nyeupe, no ma champgne, no ma models wengi yani ya kitofauti.
Mimi nimeipenda hata kijuso sijaitazama coz wimbo wa kijuso wenyewe sikuwahi kuupenda.
 
Song zote cjawahi zpenda hata kuzitafuta so sijui
 
Ed sheeran- thinking out
kaangalie halafu rudi hapa
we jamaa muongo sana video ya Ed sheeran na Aje remix ni video mbili tofauti sana labda kama unamakengeza kuangalia halafu hebu tambua kitu kimoja mtu unaweza kuandika thesis katika title ambayo tayariishafanywa ila maudhui yenu yakawa tofauti kabisa na huwezi ukakamatwa eti umeiga thesis ya mwenzaki kisa tu title zinafanana ndo nawewe unataka ulazimishe hizo video mbili zinafanana sasa lakini ni tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…