kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
na ww ulie comment upo form ngapi?Sasa mnabishana nini? Nahisi hii thread wana comment form 3-4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ww ulie comment upo form ngapi?Sasa mnabishana nini? Nahisi hii thread wana comment form 3-4
Huwo ndo wimbo sasa cyo izi kelele cjui aje cover mara cjui kijuso hata huelewi wnaimba nnBen Paul ft Eaze Phone ndo kiboko
Utofauti upi au zile taa kama yupo coke studioWengine video Kali mpaka waone magari na rangirangi. Hawajui maana ya creativity. Kiba kaamua kutoa video ya tofauti na tulivyozoea (magari) ndio maana mnaona mbaya! Kwa upande wangu video ya kiba ni nzuri na ameonesha utofauti.
Uko sahihi mkuu kachukue posho sasa kwa kazi nzuriAlikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Sijasema kijuso ni kali au hujaisoma vzur comment yangu.....ukiwa shabiki wa msanii utapenda tu nyimbo zake hata akitikea kaimbo utumbo utaushabikia tu.....kwng kijuso ni moja ya nyimbo mbaya kwa muda huu
Kwani ngoma mpya ni kijuso na aje rmx kama sio ushabiki ni nn mbona video kibao mpya hujafananisha,mie sinaga ushabiki wa ajabu ajabu,huwa nnasema pia mabaya ya alikiba,jkapo haiondoi ukweli kuwa Mimi ni blood fan!!,,!
Hata hivyo Uzi unataka ulinganishe kati ya video ya#kijuso na [HASHTAG]#ajeremix[/HASHTAG],,hivyo kama ulikuwa huzikibali zote ungesema na hatungefika huku,,ila kwa sababu umeponda moja kati ya mbili,hivyo kijuso kwako ndo nzuri kulingana na Uzi unavyojieleza,otherwise tusijikite kwenye uzi
Hakuna ndoma ya Africa inayofanya vizuri kwa sasa zaidi ya marry you kuanzia Nigeria, south Africa, Zambia, Zimbabwe, Ghana, Uganda hadi Kenya, pamoja UK, Fanya utafitiKwakweli Kiba katoa video mbaya isiyoendana na ukubwa wa hiyo ngoma yake, ila upande kwa upande wa Diamond hii ngoma ya marry you nadhani amekosea muda wa kuitoa.Atatumia hela nyingi sana kuwakubalisha wapenda muziki kusikiliza hiyo ngoma,especially msimu huu ambao soko lina ngoma mpya nyingi na kali.
Kwani Uzi unasomekaje??!!,,,Kwani ngoma mpya ni kijuso na aje rmx kama sio ushabiki ni nn mbona video kibao mpya hujafananisha
Inafanya vizuli kwenye na Je unajua kama hiyo ngoma ya mery me ni copy ya ngoma ya kcee iliyo toka mwaka 2014Hakuna ndoma ya Africa inayofanya vizuri kwa sasa zaidi ya marry you kuanzia Nigeria, south Africa, Zambia, Zimbabwe, Ghana, Uganda hadi Kenya, pamoja UK, Fanya utafiti
Pole kaka...pia tusameeane,maana umeonesha wazi kuwa huo ni utimu,na vitu kama vipi lazma useme ukweli kaka! Ila narudia tena tusameeane maana maneno niliotumia si ya kiungwana.Ok
Shukrani
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
haya usijali mkuuPole kaka...pia tusameeane,maana umeonesha wazi kuwa huo ni utimu,na vitu kama vipi lazma useme ukweli kaka! Ila narudia tena tusameeane maana maneno niliotumia si ya kiungwana.
Unajulikana ngoma nzuli zote ziko mtaaniKwani Uzi unasomekaje??!!,,,
Wiki mbali siku mbiliIn short aje remix haina kitu kipya cha kusismua kuanzia audio adi video ni yale yale tu....naipa wiki moja tu tuanisahau
3_4 Ww upo pande gani kwasababu umekomentSasa mnabishana nini? Nahisi hii thread wana comment form 3-4
we jamaa muongo sana video ya Ed sheeran na Aje remix ni video mbili tofauti sana labda kama unamakengeza kuangalia halafu hebu tambua kitu kimoja mtu unaweza kuandika thesis katika title ambayo tayariishafanywa ila maudhui yenu yakawa tofauti kabisa na huwezi ukakamatwa eti umeiga thesis ya mwenzaki kisa tu title zinafanana ndo nawewe unataka ulazimishe hizo video mbili zinafanana sasa lakini ni tofauti sanaEd sheeran- thinking out
kaangalie halafu rudi hapa