Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Unaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikall
Ofcourse napenda kazi za wasafi but kwasasa natamani wabadili director maana video za wasanii wote wanazofanya s.a from tz simeanza kufanana
 
Ingawa sijazitazama video mbili ila mkuu umeongea ukweli mtupu. Kijuso najua tu kama kawaida ya WCB watakuwa wamevaa minguo ya rangi rangi kama rainbow, video haina story unique..... Upo sahihi sana mkuu sasa ngoja nikatazame huzo videos
 
We mkali hujaangalia bado hz video?
 
Kijuso wimbo mbayaaa, ila angalau kavideo kidogo.

na hii video ya aje remix ipo katikati sio nzuri wala sio mbaya.

Alikiba atoe ngoma nyingine fastaaa, maana hajapooza kiu ya sisi mashabiki ya kusubiri mda mrefu hivyo kwa hichi kirupela remix
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmh
 
Bila ushabiki wala nini hata Dimond angetoa video kama ya ally kiba bado ningemponda... Video gani haina story, haieleweki kabisa, sijui kwanini wanafanya mistake zilizokuwa wazi kama hizi halafu ni watu wakubwa kwenye industry kama *Seven* hadi nashangaa
 
Ningeshangaa sana kama ungetoa maoni tofauti na haya.
Huna jipya,maneno yote umeshayamaliza.
 
Ungekuwa karibu ungekuwa una ujauzito mida hii
 
Sikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,
Tangu marry you imetoka diamond ameshapata simu za booking Senegal,nigar , botswana, Ghana na cameroon.
Kijana amebanwa na ratiba kuanzia mwezi march na April ana Fanya tour ya UK na Neyo
Weka ushahidi akiwa anapokea hizo simu.

Otherwise wewe ni Shilawadu.
 
Huo ndio unaitwa ubunifu.Unafanya kitu ambacho kila mtu hakutegemea.

Yule jamaa mwingine kabla ajatoa video unajua kabisa kutakuwa na magari ya kifahari,Nyumba kubwa,Wanawake wa kizungu etc.

Ila Ali kaleta kitu tofauti ambacho kila mtu hakutegemea.Nashangaa unaiponda video ya Ali huku unashabikia Video ya Ed Sheeran au kisa yeye mzungu?!
 
watanzania hatuko tayari kwa creativity, akili zetu bado zinawaza direction moja.

ukimuuliza mtu ubaya wa video ya aje remix atasema haina story, ukimuuliza uzuri wa kijuso ( ambayo story yake ndo imeharibiwa kabisaa) atasema kwa sababu ipo chini ya WCB.

kwa kifupi kijuso ni mbaya, nimeangalia mwanzoni nikajua tu mwishoni itaishiaje. Ila kiba kazingua kutomuweka MI kwenye video.
 
Ungetoa maoni tofauti na ayo ningekushangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…