chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Hizi video zote sijazielewa to be honest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcourse napenda kazi za wasafi but kwasasa natamani wabadili director maana video za wasanii wote wanazofanya s.a from tz simeanza kufananaUnaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikall
Ingawa sijazitazama video mbili ila mkuu umeongea ukweli mtupu. Kijuso najua tu kama kawaida ya WCB watakuwa wamevaa minguo ya rangi rangi kama rainbow, video haina story unique..... Upo sahihi sana mkuu sasa ngoja nikatazame huzo videosHahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!
Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!
so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
We mkali hujaangalia bado hz video?Ingawa sijazitazama video mbili ila mkuu umeongea ukweli mtupu. Kijuso najua tu kama kawaida ya WCB watakuwa wamevaa minguo ya rangi rangi kama rainbow, video haina story unique..... Upo sahihi sana mkuu sasa ngoja nikatazame huzo videos
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijuso wimbo mbayaaa, ila angalau kavideo kidogo.
na hii video ya aje remix ipo katikati sio nzuri wala sio mbaya.
Alikiba atoe ngoma nyingine fastaaa, maana hajapooza kiu ya sisi mashabiki ya kusubiri mda mrefu hivyo kwa hichi kirupela remix
MmhHahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!
Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!
so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
Ningeshangaa sana kama ungetoa maoni tofauti na haya.Bila ushabiki wala nini hata Dimond angetoa video kama ya ally kiba bado ningemponda... Video gani haina story, haieleweki kabisa, sijui kwanini wanafanya mistake zilizokuwa wazi kama hizi halafu ni watu wakubwa kwenye industry kama *Seven* hadi nashangaa
Ungekuwa karibu ungekuwa una ujauzito mida hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]haya ndiyo mapovu niliokuwa nayataka inaonyesha hasira zako ningekuwa karibu ungenitemea cheche [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafurahi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka ushahidi akiwa anapokea hizo simu.Sikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,
Tangu marry you imetoka diamond ameshapata simu za booking Senegal,nigar , botswana, Ghana na cameroon.
Kijana amebanwa na ratiba kuanzia mwezi march na April ana Fanya tour ya UK na Neyo
Huo ndio unaitwa ubunifu.Unafanya kitu ambacho kila mtu hakutegemea.Bila ushabiki wala nini hata Dimond angetoa video kama ya ally kiba bado ningemponda... Video gani haina story, haieleweki kabisa, sijui kwanini wanafanya mistake zilizokuwa wazi kama hizi halafu ni watu wakubwa kwenye industry kama *Seven* hadi nashangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapaKigwa fungia iyo kijusi,hawezekan wanaume wabinue tako vilee
Ungetoa maoni tofauti na ayo ningekushangaa sanawatanzania hatuko tayari kwa creativity, akili zetu bado zinawaza direction moja.
ukimuuliza mtu ubaya wa video ya aje remix atasema haina story, ukimuuliza uzuri wa kijuso ( ambayo story yake ndo imeharibiwa kabisaa) atasema kwa sababu ipo chini ya WCB.
kwa kifupi kijuso ni mbaya, nimeangalia mwanzoni nikajua tu mwishoni itaishiaje. Ila kiba kazingua kutomuweka MI kwenye video.
Naona unanijua sana bwana mdogo.Ungetoa maoni tofauti na ayo ningekushangaa sana