Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Wenzenu wanapga hela nyie mnatoana povu hapa... [emoji36][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa si kapewa tuzo kwa video ya aje kutazamwa mara mln kadhaa...
Hivi kwa mfano darasani ukawa watano kwenye matokeo na kumbuka zawadi inatolewa kwa mtu wa kwanza mpk wa tatu......afu ukafika home mama aka au baba ako akakupa zawadi kwa kuwa mtu wa tano kweny mtihani darasan utaanza kuvimba na ww umepewa zawadi???
 
Aje iko powa
 
Kuna utofauti upi kati ya lupela na aje remix ukiwatoa tembo
Usisahau zote ni za mtu mmoja weka kichwani hiyo... Ipi ni mbaya kati ya aliyejicopy mazingira ya wimbo na aliyecopy nyimbo ya mtu mwingine.... Hebu kachek kwanza nyimbo ya kcee ''I want to see your face''
 
Mpk unajikopi inamaana akili yako imegota haiwazi mbele tena
 
Usisahau zote ni za mtu mmoja weka kichwani hiyo... Ipi ni mbaya kati ya aliyejicopy mazingira ya wimbo na aliyecopy nyimbo ya mtu mwingine.... Hebu kachek kwanza nyimbo ya kcee ''I want to see your face''
Ww kaka uwo wimbo unaosema wa kcee umefanana na wimbo gani au video gani maana nimeusikiliza na kuungalia sioni connection yyt
 
Ningeshangaa sana kama ungetoa maoni tofauti na haya.
Huna jipya,maneno yote umeshayamaliza.
Nasema ukweli kutoka moyoni mwangu Nifah....

Comment zangu nikiwa nina chuki binafsi utazijua ila mimi video ya aje yaani sikutegemea hata MI asiwepo
 
Baby ooh why you check my phone Basi tugombane tugombane Tuzozane tuzozane Sikusema unichunguze Umeyaibua mwenyewe Tugombane tugombane Tuzozane tuzozane Sikusema unichunguze Umeyaibua mwenyew Beautiful onyenye usiguse Simu yangu
Mmefuraaaaaahi kwelikweli eeeh? Simu lazima zichunguzwe tu,no way.
 
Alikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Acha kumfananisha Diamond na vitu vya kipuuzi
 
video ya mchna ni easy ku shoot kuliko ya night

so msifananishe aje na vitu vya ajabu
video bdo local kabisa ile haina hata ugumu wwte nipe camera nakushootia yote na location kibao za kijuso znajulikana hpo mwanzo tu ni jiran na gymkana viwanja vya golf lkn aje zle back ground shida sana yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…