Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Wenzenu wanapga hela nyie mnatoana povu hapa... [emoji36][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa mfano darasani ukawa watano kwenye matokeo na kumbuka zawadi inatolewa kwa mtu wa kwanza mpk wa tatu......afu ukafika home mama aka au baba ako akakupa zawadi kwa kuwa mtu wa tano kweny mtihani darasan utaanza kuvimba na ww umepewa zawadi???Jamaa si kapewa tuzo kwa video ya aje kutazamwa mara mln kadhaa...
Na ukisema nzuri unaongezewa nn?Ukisema mbaya kiba anapungukiwa nn kwan
yani we jamaa CCM imekufisha uwezo wa kuwazaMkuu wewe tuletee Habari za Tunda tuu.... aje remix ni mbovu amepoteza pesa..
Aje iko powaWakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli
Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video
Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu
Tchaooooo
Wakikujibu niambie na mmWw nae mahaba yamekuzid kwani aje ilitoka lini na Salome imetoka lini.....mbona hujasema domo katoa marry you afu kiba katoa aje remix...ukinijibu apo tuendelee na mada
Wazee wa kulalamika kila siku wanafanyiwa hujuma.....ngoma zikibuma wanazikataaWakikujibu niambie na mm
Usisahau zote ni za mtu mmoja weka kichwani hiyo... Ipi ni mbaya kati ya aliyejicopy mazingira ya wimbo na aliyecopy nyimbo ya mtu mwingine.... Hebu kachek kwanza nyimbo ya kcee ''I want to see your face''Kuna utofauti upi kati ya lupela na aje remix ukiwatoa tembo
Mpk unajikopi inamaana akili yako imegota haiwazi mbele tenaUsisahau zote ni za mtu mmoja weka kichwani hiyo... Ipi ni mbaya kati ya aliyejicopy mazingira ya wimbo na aliyecopy nyimbo ya mtu mwingine.... Hebu kachek kwanza nyimbo ya kcee ''I want to see your face''
Ww kaka uwo wimbo unaosema wa kcee umefanana na wimbo gani au video gani maana nimeusikiliza na kuungalia sioni connection yytUsisahau zote ni za mtu mmoja weka kichwani hiyo... Ipi ni mbaya kati ya aliyejicopy mazingira ya wimbo na aliyecopy nyimbo ya mtu mwingine.... Hebu kachek kwanza nyimbo ya kcee ''I want to see your face''
Nasema ukweli kutoka moyoni mwangu Nifah....Ningeshangaa sana kama ungetoa maoni tofauti na haya.
Huna jipya,maneno yote umeshayamaliza.
Baby ooh why u check my phone! Hii ngoma siichoki hakii
Wherever nzuri o mbaya haongezewi kitu wala hapungukiwi kituNa ukisema nzuri unaongezewa nn?
Mmefuraaaaaahi kwelikweli eeeh? Simu lazima zichunguzwe tu,no way.Baby ooh why you check my phone Basi tugombane tugombane Tuzozane tuzozane Sikusema unichunguze Umeyaibua mwenyewe Tugombane tugombane Tuzozane tuzozane Sikusema unichunguze Umeyaibua mwenyew Beautiful onyenye usiguse Simu yangu
Acha kumfananisha Diamond na vitu vya kipuuziAlikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Moja inaanza na "nyooooo" na ingine haianz na "nyooooooo"Sasa hebu nipe tofauti ya aje na ajeremix? Ukiacha video
Video ina disco lights kibao kama MITHUN CHAKAROBOTHMpk unajikopi inamaana akili yako imegota haiwazi mbele tena