Ndo walichozoea bila maghorofa au bahari bdo haijawa video wanaonaWabongo video ya drake ya wimbo wa hotline bling angeitoa mbongo wangesema video gani kisa haina magari na madem na mashampaigne
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Wewe Umefanyaje?Sasa mnabishana nini? Nahisi hii thread wana comment form 3-4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu acha utani wewe aje remix ni next level ile ni ya ki mataifa zaid . hiyo kijuso ni nzur ila haiwez kuzid aje remixWakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli
Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video
Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu
Tchaooooo
Kajikopi mwenyewe kweny lupela sema hii tembo hawaonekani
Kajiandae ni ommydimpoz kiba kashirikishwaUkifatilia trend ya kiba unaona mwenyewe ni kiasi gani ngoma zake zinavofua asa iv angalia kajiandae cjui ilifia wapi
Una akili sanaHahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!
Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!
so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
Aje haina creativity yyt ni one location na light za kutosha kama upo coke studiovideo ya mchna ni easy ku shoot kuliko ya night
so msifananishe aje na vitu vya ajabu
video bdo local kabisa ile haina hata ugumu wwte nipe camera nakushootia yote na location kibao za kijuso znajulikana hpo mwanzo tu ni jiran na gymkana viwanja vya golf lkn aje zle back ground shida sana yaan
Ni dual collaboration so 50/50 sema kisa imefua ataikataaKajiandae ni ommydimpoz kiba kashirikishwa
Download tubemate kwenye google, usipitia google playstoreMbona hamtaki kuziweka tuone maana Mimi simu yangu nilikuwa natumia supermate kudownload nyimbo sasa hivi inanikatalia inaandika unfortunately Google stopped so mwenye download nzuri ambayo haisumbui anisaidie ili nione kinachoendelea
AsanteDownload tubemate kwenye google, usipitia google playstore
We ndo umeua kumbe anashindanishwa na kundiAlikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Mtu akiwa na gubu hata ukiogelea atakwambia unamtimulia vumbi....hivi salome na my number 1 remix zina location ngapi????Aje haina creativity yyt ni one location na light za kutosha kama upo coke studio
Ngoma mpya ziko nyingi sana kama unaujua mziki najua unaona na kuusu wimbo alio copy unaitwa FINE FACE-KCEE ingia mtandaon sikilizaMbona umebadilisha mada? Ulisema kakosea timing coz kuna ngoma nyingi zimetoka, na hautoweza kutaja angalau moja iliyoyoka kipindi hiki iliyotrend zaidi yake! Sasa unasema kakopy bila kuitaja hiyo ngoma aliyoikopy, unaishia kusema ya kcee aliyoitoa cjui mwaka gani!! Si uingie youtube uweke link.
We uko sawa unajua ukishakua msanii mwenye jina kubwa usikopi kitu we ndo waku copy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12]Diamond kakopy na kupaste nyimbo ya kcee wa naigeria inaitwa 'I want to see your face' ila tuache ushabiki aje remix video ni fireeee kila kitu kiko on point wanavyocheza ndo wananimaliza kabisaaa
Kuna watu mziki hawaujui ila wapo tu kimkumbo mkumbo ataukimuuliza hawezi to a jibu wala maelezoHuna hoja, ungekuwa unataka kuuliza hilo swali ungeuliza kabla hujaulizwa.
Nilishakuambia na ninarudia tena, hamna unachojua kwenye muziki zaidi ya hizo story zenu za vijiweni na watoto wenzio.
Ngoma ata hazifanani au tunatofautiana masikioNgoma mpya ziko nyingi sana kama unaujua mziki najua unaona na kuusu wimbo alio copy unaitwa FINE FACE-KCEE ingia mtandaon sikiliza
Ww unajua mziki au na ww fata mkumbo...Kuna watu mziki hawaujui ila wapo tu kimkumbo mkumbo ataukimuuliza hawezi to a jibu wala maelezo
Uliza chochote chenye msingi nikujibuWw unajua mziki au na ww fata mkumbo...