Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja

Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli

Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video

Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu


Tchaooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu acha utani wewe aje remix ni next level ile ni ya ki mataifa zaid . hiyo kijuso ni nzur ila haiwez kuzid aje remix
 
Mbona hamtaki kuziweka tuone maana Mimi simu yangu nilikuwa natumia supermate kudownload nyimbo sasa hivi inanikatalia inaandika unfortunately Google stopped so mwenye download nzuri ambayo haisumbui anisaidie ili nione kinachoendelea
 
Hahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!


Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!


so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
Una akili sana
 
kijuso na natafuta kiki ni nyimbo kama zinaflaw same way...wameongezea radha flani za kidully...ila kwa upande wa video zote nzuri...kijuso imefuata script ila director amezidiwa kwa kuwa too much ila kwa upande wa aje remix ipo on simplicity way na pia corporate kiurban zaidi hii inaweza fanya vizuri kimataifa kuliko kijuso
 
video ya mchna ni easy ku shoot kuliko ya night

so msifananishe aje na vitu vya ajabu
video bdo local kabisa ile haina hata ugumu wwte nipe camera nakushootia yote na location kibao za kijuso znajulikana hpo mwanzo tu ni jiran na gymkana viwanja vya golf lkn aje zle back ground shida sana yaan
Aje haina creativity yyt ni one location na light za kutosha kama upo coke studio
 
Mbona hamtaki kuziweka tuone maana Mimi simu yangu nilikuwa natumia supermate kudownload nyimbo sasa hivi inanikatalia inaandika unfortunately Google stopped so mwenye download nzuri ambayo haisumbui anisaidie ili nione kinachoendelea
Download tubemate kwenye google, usipitia google playstore
 
Alikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
We ndo umeua kumbe anashindanishwa na kundi
 
Aje haina creativity yyt ni one location na light za kutosha kama upo coke studio
Mtu akiwa na gubu hata ukiogelea atakwambia unamtimulia vumbi....hivi salome na my number 1 remix zina location ngapi????
 
Mbona umebadilisha mada? Ulisema kakosea timing coz kuna ngoma nyingi zimetoka, na hautoweza kutaja angalau moja iliyoyoka kipindi hiki iliyotrend zaidi yake! Sasa unasema kakopy bila kuitaja hiyo ngoma aliyoikopy, unaishia kusema ya kcee aliyoitoa cjui mwaka gani!! Si uingie youtube uweke link.
Ngoma mpya ziko nyingi sana kama unaujua mziki najua unaona na kuusu wimbo alio copy unaitwa FINE FACE-KCEE ingia mtandaon sikiliza
 
Diamond kakopy na kupaste nyimbo ya kcee wa naigeria inaitwa 'I want to see your face' ila tuache ushabiki aje remix video ni fireeee kila kitu kiko on point wanavyocheza ndo wananimaliza kabisaaa
We uko sawa unajua ukishakua msanii mwenye jina kubwa usikopi kitu we ndo waku copy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12]
 
Huna hoja, ungekuwa unataka kuuliza hilo swali ungeuliza kabla hujaulizwa.

Nilishakuambia na ninarudia tena, hamna unachojua kwenye muziki zaidi ya hizo story zenu za vijiweni na watoto wenzio.
Kuna watu mziki hawaujui ila wapo tu kimkumbo mkumbo ataukimuuliza hawezi to a jibu wala maelezo
 
Back
Top Bottom