Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Mtu akiwa na gubu hata ukiogelea atakwambia unamtimulia vumbi....hivi salome na my number 1 remix zina location ngapi????
Kuwa na location moja cyo tatzo.....tatzo linaloitesa aje remix hauna ubunifu afadhari uangalie ata video za coke studio
 
NJOO PM NKUPE HELA
 
Mziki mzuri ukoje
Gud music kwa mond hawez yaan nymbo zake za ndugu zake baadh ya collabo ni kelele tu labda zle ukimuona,mapenz basi,utanipenda atleast kidgo alijitahd ila kidogo,cjui kokoro,marry you yenyew neyo kaanzisha vzur ila mtz wetu alvodakia na kupuyang humo nymbo ikawa mbovu....but kwa king hata siongei
 
Kuna watu huwa wanaongea vitu ghali sana!!!! Mfano ni haya maneno uliyoyaongea mkuu, watu tujifunze.

Sisi tutakeni burudani ya muziki na sio mashindano na mlinganisho kati ya wasanii, hayo tuwaachie wenyewe maana kupitia hayo tunapata muziki murua kabisa!!!! Bila kujali nani kaimba, kiufupi nyimbo zote ya aje na kijuso ni nzuri na video zote ni nzuri na ndomaana tunazitazama
 
Nimeuliza mziki mzuri ni upi na ww unakurupuka cjui umetokea wapi.....unafikiri hisia zako ndo zitakuleta kwny conclusion...... Kusema huu mziki mzuri huu mbaya ni kutoka na na hisia za msikilizaji ww wimbo fulani unaweza ukauona mzuri mwingne akauona mbaya so usilete conclusion zako apa za utimu
 
Sio kukurupuk nami nmetoa yang coz ww najua ni die fan wa mond
 
Najaribu kulazimisha moyo uip3nde lakin naumbuka tu anakuka za uso
 
Kwani hujajibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…