Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Mtu akiwa na gubu hata ukiogelea atakwambia unamtimulia vumbi....hivi salome na my number 1 remix zina location ngapi????
Kuwa na location moja cyo tatzo.....tatzo linaloitesa aje remix hauna ubunifu afadhari uangalie ata video za coke studio
 
Hahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!

Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!

so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
NJOO PM NKUPE HELA
 
Mziki mzuri ukoje
Gud music kwa mond hawez yaan nymbo zake za ndugu zake baadh ya collabo ni kelele tu labda zle ukimuona,mapenz basi,utanipenda atleast kidgo alijitahd ila kidogo,cjui kokoro,marry you yenyew neyo kaanzisha vzur ila mtz wetu alvodakia na kupuyang humo nymbo ikawa mbovu....but kwa king hata siongei
 
Namwelewa sana kiba....
..napenda jitihada za mond.....namheshimu sana Ngosha......Ntaumia mwana fa akiacha mziki.....siioni hip hop laini ya kuvutia km ya joh makini....napenda kuskia belle9+Barnaba+BenPol+Jux kila siku......naukosa ukweli toka kwako mpoto+Roma+bonta+kala n.k
.......
Wasanii wote wetu hakuna anaejua zaidi ya mwingine ila kila mtu na njia anayoamini.....Msifosi wafanane Tutakosa radha
Kuna watu huwa wanaongea vitu ghali sana!!!! Mfano ni haya maneno uliyoyaongea mkuu, watu tujifunze.

Sisi tutakeni burudani ya muziki na sio mashindano na mlinganisho kati ya wasanii, hayo tuwaachie wenyewe maana kupitia hayo tunapata muziki murua kabisa!!!! Bila kujali nani kaimba, kiufupi nyimbo zote ya aje na kijuso ni nzuri na video zote ni nzuri na ndomaana tunazitazama
 
Gud music kwa mond hawez yaan nymbo zake za ndugu zake baadh ya collabo ni kelele tu labda zle ukimuona,mapenz basi,utanipenda atleast kidgo alijitahd ila kidogo,cjui kokoro,marry you yenyew neyo kaanzisha vzur ila mtz wetu alvodakia na kupuyang humo nymbo ikawa mbovu....but kwa king hata siongei
Nimeuliza mziki mzuri ni upi na ww unakurupuka cjui umetokea wapi.....unafikiri hisia zako ndo zitakuleta kwny conclusion...... Kusema huu mziki mzuri huu mbaya ni kutoka na na hisia za msikilizaji ww wimbo fulani unaweza ukauona mzuri mwingne akauona mbaya so usilete conclusion zako apa za utimu
 
Sio kukurupuk nami nmetoa yang coz ww najua ni die fan wa mond
 
Najaribu kulazimisha moyo uip3nde lakin naumbuka tu anakuka za uso
 
Nimeuliza mziki mzuri ni upi na ww unakurupuka cjui umetokea wapi.....unafikiri hisia zako ndo zitakuleta kwny conclusion...... Kusema huu mziki mzuri huu mbaya ni kutoka na na hisia za msikilizaji ww wimbo fulani unaweza ukauona mzuri mwingne akauona mbaya so usilete conclusion zako apa za utimu
Kwani hujajibiwa
 
Back
Top Bottom