Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Unajua mi bado cjaelewa ni ipi ilikuwa remix kati hii ya sasa na ile ya mwanzo, maana ukivuta kumbukumbu vizuri hii Aje alomshirikisha M.I ndo ilkuwa ya kwanza kutoka, na kwenye video yake ya kwanza tulitegemea kumuona huyo M.I , lakini cha ajabu tukaona ngoma kairemix kwa kuingiza lugha ya kifaransa katika verse ya M.I, leo tena tunaletewa aje Remix ambayo ndo ilikuwa original ktk first version tn kibaya hata hii huyo M.I pia hayumo,cjui wanapishana wapi na huyu jamaa aise....au mi ndo najichanganya wadau?
Nyimbo ya kwanza na MI ilivuja haikuwa official released na kwa madai ya kiba haikuwa imekamilika pia..... Ikabidi afanye nyingine ambayo itakuwa tofauti na haina version ya rap na tofauti kidogo ya mdundo pia akaiboresha zaidi kwa kuimba kifaransa..... Aje remix it official remix song kutoka Ali na MI... So nyimbo ni Aje OG na Aje Remix ile ya tatu usiumizw kichwa na usiache kusikiliza pia coz ni mziki mzuri.
 
Naona unanijua sana bwana mdogo.
Ulitaka nisifie ujinga ule?
labda nikuulize ubaya wa aje remix video ni upi? nijibu hapo tuendelee
Kabla cjakujibu na ww nipe ubaya wa kijuso video japo wimbo wenyewe siupend
 
Diamond kakopy na kupaste nyimbo ya kcee wa naigeria inaitwa 'I want to see your face' ila tuache ushabiki aje remix video ni fireeee kila kitu kiko on point wanavyocheza ndo wananimaliza kabisaaa
Kuna utofauti upi kati ya lupela na aje remix ukiwatoa tembo
 
Kabla cjakujibu na ww nipe ubaya wa kijuso video japo wimbo wenyewe siupend
Huna hoja, ungekuwa unataka kuuliza hilo swali ungeuliza kabla hujaulizwa.

Nilishakuambia na ninarudia tena, hamna unachojua kwenye muziki zaidi ya hizo story zenu za vijiweni na watoto wenzio.
 
Huna hoja, ungekuwa unataka kuuliza hilo swali ungeuliza kabla hujaulizwa.

Nilishakuambia na ninarudia tena, hamna unachojua kwenye muziki zaidi ya hizo story zenu za vijiweni na watoto wenzio.
Ushabiki ukizidi unakuwa zuzu pole yako but aje remix video is one of the dumpest video ever....haina utofauti na coke studio
 
Ukiona nyimbo yako inapendwa sana na wabongo jiandae kufulia na kufilisika kimziki ,,,Huwaga tuna majibu mawili mbya au nzuri ukiulizia tuna vyuo vya mziki hakuna jibu hiii taaluma ya mbaya au nzuri inatoka wapi!!!! Tutajua tu team mond vs team kiba!!! Maana hawa ndo wametugawa kiasi cha kufilisika mawazo
 
Kwa hiyo kujua hii video mbaya au nzuri mpk uende chuo duuuh
 
Upande mwingne wcb wanamuongezea jamaa trending kwa sababu kulikuwa hakuna haja ya kutoa video ya kijusho leo wameniuzi kwl yaani cjui kwa nn wanashindwa kujiamn
Nyie mnawaamini ila wao hawajiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] too bad! HV ushawahi kuona kiba akisubiri wcb kutoa wimbo/video naye ndo atoe?? Lkn wcb ndo zao Mzee mzima akatoa aje wakaja na Salome, ijatolewa kajiandae wakaja na kokoro sasa aje remix na kijuso [emoji23] [emoji23] [emoji23] wcb wananifurahishaga kuwa na Boss asiejiamini ni kazi kubwa
 
Sikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,
Tangu marry you imetoka diamond ameshapata simu za booking Senegal,nigar , botswana, Ghana na cameroon.
Kijana amebanwa na ratiba kuanzia mwezi march na April ana Fanya tour ya UK na Neyo
Tumekusikia sallam sk
 
Nyie mnawaamini ila wao hawajiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] too bad! HV ushawahi kuona kiba akisubiri wcb kutoa wimbo/video naye ndo atoe?? Lkn wcb ndo zao Mzee mzima akatoa aje wakaja na Salome, ijatolewa kajiandae wakaja na kokoro sasa aje remix na kijuso [emoji23] [emoji23] [emoji23] wcb wananifurahishaga kuwa na Boss asiejiamini ni kazi kubwa
Ww nae mahaba yamekuzid kwani aje ilitoka lini na Salome imetoka lini.....mbona hujasema domo katoa marry you afu kiba katoa aje remix...ukinijibu apo tuendelee na mada
 
Kijuso wimbo mbayaaa, ila angalau kavideo kidogo.

na hii video ya aje remix ipo katikati sio nzuri wala sio mbaya.

Alikiba atoe ngoma nyingine fastaaa, maana hajapooza kiu ya sisi mashabiki ya kusubiri mda mrefu hivyo kwa hichi kirupela remix
[emoji23] [emoji23] mkuu umenichekesha et kilupela remix
 
Nyie mnawaamini ila wao hawajiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] too bad! HV ushawahi kuona kiba akisubiri wcb kutoa wimbo/video naye ndo atoe?? Lkn wcb ndo zao Mzee mzima akatoa aje wakaja na Salome, ijatolewa kajiandae wakaja na kokoro sasa aje remix na kijuso [emoji23] [emoji23] [emoji23] wcb wananifurahishaga kuwa na Boss asiejiamini ni kazi kubwa
Mkuu nenda YouTube uone kijuso inavyomchapa bakora aje remix
IPO 1 trending na INA views nyingi kuliko ajeremix japo aje alianza kutoka
 
Mkuu nenda YouTube uone kijuso inavyomchapa bakora aje remix
IPO 1 trending na INA views nyingi kuliko ajeremix japo aje alianza kutoka
Huko YouTube mm wala hapanitii homa maana wazee wa janja wapo kazini, HV ule wimbo wa kijuso ni wa kusifiwa kiasi hicho?? Aisee mahaba mabaya sana
 
Back
Top Bottom