Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kwa nini unaitwa Padri mcharo?

Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa
Hapo singida itigi wanakujua kama padre nan? Ili nikakuulizie

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwaje ukahasi kuchunga kondoo wa bwana?

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app

Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
 
Kwanini umeendelea kujiita padri wakati ulishaacha kazi hiyo?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app

Sijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
 
Sawa Padri.

Wewe ni Padri wa parish ipi?

Ulisoma masomo ya dini na baadae pia upadri?

Kwanini unataka tukuulize maswali?

Unasaidiaje watu kama wazee na watoto yatima?

Unaongoza kanisa?

Wahumini unawaomba watoe sadaka mara ngapi kwa wiki?

Unawaumini kama wangapi?
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa

Sio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.

Je inaweza kuwa sababu moja ni ulitaka kuanzisha familia uwe na watoto au?
 
Back
Top Bottom