Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Yale maagano hayatakusumbua? Ulilala chini na kuapa! Nina shaka yale ni maapo katika ulimwengu wa roho! Ujue hilo dhehebu lipo kidunia zaidi. Ni sawa na mtu kuvunja masharti ya mganga.
 
Kwa nini wavaa kanzu, makubazi na wafuga ndevu wanaliwa sana ndogo na hasa zanzibar, tanga na Mwanza .... KWA NINI DINI YENU INA HAKI HADI MNAWAKUBALI MASHOGA....,,,,?🤔🤔🤔
 
Ila uwe macho, kupinga ukatoliki ujiandae, huenda wameishikilia Dunia mkononi.
 
Back
Top Bottom